Sasa wewe kinakuuma nini kwa mtu kutotaarifa na wewe chukua taarifa ya bibi yako au babu yako aliyefariki upost mwende sawa,usilazimisha akili za watanzania wote ziwe sawa na utakavyo wewe.Ndugu wa wafiwa hawajawahi kulalamika hata siku moja humu ila wewe unawashwawashwa.
Kuna mtendaji wa kata fulani Mkoa nilipo kaleta barua ya kuomba mchango kwa ajili ya shule ili imfikie boss wangu,tangu mwezi wa 12 nnayo na siifikishi kwa boss,maana hela kutoka serekali kuu zinatutosha hakuna haja ya kuwaumiza wengine na michango isiyo kuwa na kichwa wala mkia.
lakini hukuweza kuzuia kilichowapata waalimu wetu kule kamara,halafu isitoshe baadhi ya waliofukuzwa kuna yule aliyekuwa hakai shuleni yaan board alikuwa anasoma kama ni shule ya day sasa hivi n komando ngerengere,Kizanye ni mhasibu na badhi wameweza kutimiza ndoto zao,na Mwingira,mchete naye...
nnakumbuka 2006-2007 kulitokea mgomo baada ya walimu wa 3 kupigwa kamala akiwemo mwalimu Mchele tukapewa muda mpaka saa 11 jioni kuwa tumeondoka maeneo ya shule,ila long time alfajiri tunatoka mchakamchaka kupandisha katonga.wapi Bilantanya mwalimu wa geograpgy
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.