Nimefikia kuhuliza hivyo kwasababu vijana wengi tunasifika kwa kupiga maneno vitendo hafifu inapofikia siku ya kupiga kura wakinamama ndo wanakuwa wengi je hiyo cdm itapita? pia hao wabunge wa cdm wasije kulewa sifa wa kawa kama MREMA alivyo kuwa anadanganywa na vijana ambao walikuwa...
Binti mmoja anafukuzwa na mama mkwe wake heti hana sifa za kuishi na mtoto wake wakati huyo binti ana mtoto mchanga, na amejifungua kwa opration(kwa kisu) mm nikiwa kama jirani yake roho inaniuma sn sijui ninyi wana jf tutamsaidiaje huyu binti.ili hapate haki zake za msingi.
tukio lenyewe nikwamba kijana mmoja alikuwa anaishi na mke wake bahati nzuri mungu kawajalia kupata mtoto na mtoto wamempata kwa mama kufanyiwa opration yenyewe ajamaliza hata mwezi cha ajabu mama wa mwanaume na dada wa mwanaume wamekuja na kumfukuza nyumbani kwake huyo mzazi kwa madai kwamba...
ndg zangu haya mambo ya siasa mm ninaona hapa tz ni uchuro mtupu utasikia chukua chako imefanya hivi mara chaga democratic nao wamefanya hivi sijui ukombozi utatoka wapi?.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.