Recent content by inyele

  1. I

    Baadhi ya graduates hawako serious katika suala la kutafuta ajira

    Je, hivyo vigezo au vipengele vyote vilikuwa vimeanishwa wazi kwenye tangazo? Kuna wakati watangaza ajira/nafasi za kazi wanafanya mazoea pia
  2. I

    Mke wangu anadai simridhishi kitandani

    Kama Ni kweli huna maajabu Sasa asikuambie? Piga kazi acha kulialia mkuu
  3. I

    Tabia ya kupiga simu zaidi ya mara mbili inakera sana

    True story imenitokea a few days ago: Kuna jamaa Fulani alikuja kwangu nikamkopesha hela kiasi kaweka kitu cha bond ili siku ikifike alete pesa yangu nimpe kitu chake! Jamaa kakaa muda umekwisha zaidi ya miezi miwili hajaleta pesa yangu! Nampigia simu siku ya kwanza Mara tatu kwa nyakati tofauti...
  4. I

    Tundu Lissu kutaka kutembelea kaburi la Hayati Magufuli ni unafiki uliopitiliza

    Kwa maelezo yako ni kuwa " lisu alidai magu alitaka kumuua" Hata wew unaweza kutuambia Nani aliratibu jaribio la mauaji ya lisu? Tena kwenye eneo la viongozi wa serikali ambalo linalindwa na jeshi la serikali pamoja na vyombo vya kiintelejensia! Je, unajua Nini kilitokea baada ya jaribio Hilo...
  5. I

    Mila ya wanaume kutongoza imepitwa na wakati

    Tutakuwa tunawauliza, "je unanipenda kweli au unataka kunichezea na kuniharibia pesa zangu"?
  6. I

    Kukazia hukumu

    Jukwaa la Sheria (The Legal Forum) Kukazia hukumu Thread starterinyele Start dateThursday at 2:07 PM Tagshukumu First Prev2 of 2 Subscribe ••• I inyele JF-Expert Member Today at 4:04 PM Add bookmark #21 Chukulia mfano unamdai mtu 100,000 na mahakama ikaona ndio haki yako na hakimu...
  7. I

    Kukazia hukumu

    Wakati napewa maelekezo ya kukazia hukumu na kujaza fomu ya wito, niliweka hoja mezani kwa makarani waliokuepo(kwa mdomo). Nikawaambia kuwa naona naendelea kutumia pesa zangu zingine katika kudai pesa ambayo tayari hukumu imeagiza Nikaomba mahakama inilinde kwa maana ya kuelekeza gharama...
  8. I

    Kukazia hukumu

    Chukulia mfano unamdai mtu 100,000 na mahakama ikaona ndio haki yako na hakimu katoa maamuzi kwamba pesa hizo zilipwe ndani ha siku 30. Mdaiwa hajalipa siku zote 30 zikaisha unaamua kurudi mahakamani kuuliza kuhusu utaratibu, unaambiwa jaza fomu lipia 5,000 . Unatekeleza na mdaiwa kuitwa kuja...
  9. I

    Kukazia hukumu

    Atakuwa naye ni wale wale!
  10. I

    Kukazia hukumu

    Hujui sheria, kaa pembeni!
  11. I

    Kukazia hukumu

    Wacha tuwasubiri
  12. I

    Kukazia hukumu

    Nisaidie kuwaita ndugu
Back
Top Bottom