Recent content by intruder

  1. I

    JamiiForums Tanzania Skata la Escrow: PAC Ilichepuka kwa manufaa ya nani?

    BUNGE ni Taasisi yenye heshima kubwa ndani na nje ya Nchi. Heshima ya Bunge inatokana na umuhimu wa kazi yake kwa maslahi ya nchi na wananchi. Kazi za Bunge kupitia kamati zake mbalimbali zina manufaa makubwa kwa Taifa. Mathalani, Kamati ya Hesabu za Serikali ya Bunge ina kazi muhimu ya...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais, Usimuondoe Waziri wa Nishati na Madini kuhudumu katika Wizara husika

    REGINALD MENGI SASA VITA RASMI NA SOSPETER MUHONGO KUPITIA VYOMBO VYAKE VYA VYA HABARI Habari za jumatatu wadau. Leo ukurasa wa mbele kabisa wa *gazeti la NIPASHE umepambwa na picha kubwa ya Waziri wa Nishati na Madini, Mh. Sospeter Muhongo huku kukiwa na kichwa cha habari kinachosomeka...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

    Kesho fatilieni newsroom za IPP na newspaper
  4. I

    JamiiForums Tanzania Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

    Kuna rafiki yangu mwandishi wa habari mwandamiz wa vyombo vya habari vya IPP MEDIA kanipigia cm anasema mzee Mengi amewaamrisha hiyo habari ya Idriss isipewe coverage kubwa kuliko scandal ya ESCROW hiyo kesho kwan anahisi itahamisha tension za watz.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

    Hii ni bonge la U-turn,tukitoka hapa ni Serikali za mitaa mwisho dakika 90 zimeisha
  6. I

    JamiiForums Tanzania Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

    Hahaaaaa kama hujaskia team Wema au Lulu wakipigana vikumbo Airport kumuwahi...........
  7. I

    JamiiForums Tanzania Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

    Hongereni sana Watz,ushindi huu unatuleta pamoja baada ya sakata la Escrow na hila za mzee Mengi
  8. I

    JamiiForums Tanzania Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

    Ni vifijo na ndelemo hapa SA baada ya Mtz wetu kutwaa kitita cha dola za kimarekani laki 3......oyooooo
  9. I

    JamiiForums Tanzania Chief Kiumbe agawa Rushwa Tsh. 3 million Taslim UDSM. 12 Wafaidi..!

    Utumbo mwingine.......PAC na vibaraka wao katika ubora wake
  10. I

    JamiiForums Tanzania Wanaomtetea Prof. Muhongo Sospeter 'Wanaangamia kwa kukosa maarifa'

    Majenereta yamedoda na yataozea stooni,wafanyabiashara wamekosa vitalu vya gesi,kampuni ya mkono and advocates imekatiwa mirija,Lowasa ameahidi vyeo kwa wajumbe wa PAC,mahela ya mengi kumbuka kumzomea tu prof 3mil,ukichangia na kushinikiza atoke mil 20,mkono kuwakodishia ndege Zitto na wenzake...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais, Usimuondoe Waziri wa Nishati na Madini kuhudumu katika Wizara husika

    Majenereta yamedoda na yataozea stooni,wafanyabiashara wamekosa vitalu vya gesi,kampuni ya mkono and advocates imekatiwa mirija,Lowasa ameahidi vyeo kwa wajumbe wa PAC,mahela ya mengi kumbuka kumzomea tu prof 3mil,ukichangia na kushinikiza atoke mil 20,mkono kuwakodishia ndege Zitto na wenzake...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Rais Kuhusiana na Sakata la ESCROW ni Baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Majenereta yamedoda na yataozea stooni,wafanyabiashara wamekosa vitalu vya gesi,kampuni ya mkono and advocates imekatiwa mirija,Lowasa ameahidi vyeo kwa wajumbe wa PAC,mahela ya mengi kumbuka kumzomea tu prof 3mil,ukichangia na kushinikiza atoke mil 20,mkono kuwakodishia ndege Zitto na wenzake...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais, Usimuondoe Waziri wa Nishati na Madini kuhudumu katika Wizara husika

    Majenereta yamedoda na yataozea stooni,wafanyabiashara wamekosa vitalu vya gesi,kampuni ya mkono and advocates imekatiwa mirija,Lowasa ameahidi vyeo kwa wajumbe wa PAC,mahela ya mengi kumbuka kumzomea tu prof 3mil,ukichangia na kushinikiza atoke mil 20,mkono kuwakodishia ndege Zitto na...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Wizara ya Fedha ilitoa rushwa kwa Kamati ya Zitto Kabwe?

    Hivi hawa wanasiasa,wafanyabiashara na WASAKA U-RAIS undhani wanafurahia kuwa JK anaipeleka nchi kupata nuru ya umeme mpaka vijijini?biashara ya majenereta imedoda?lami mpaka idodi,dsm mpka manyovu?zahanati hizooooi,sasa maabara kila shule?chezea watz,mitima nyongo ilianza baada ya kuingia...
  15. I

Back
Top Bottom