Recent content by intelligence quotient

  1. I

    JamiiForums Tanzania Ni Ujinga kuamini Tundu Lisu atamshinda Mbowe Kwa sababu hata Mwabukusi alishinda uRais TLS licha ya vikwazo. Wajumbe wa Chadema Wengi ni la 7B!

    Sasa mleta hoja, ndiye anayeonekana mjinga. Bila shaka ulifuatilia matokeo, ukayaona.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Huyu kaka namjua ila sijui anafaidika na nini kuvaa mavazi ya kike na kwenda mahakamani

    Huenda ametumwa ila waliomtuma wapo nyuma ya muda/wakati/majira!
  3. I

    JamiiForums Tanzania Anayemfokea mtumishi wa mahakama anapaswa kuadhibiwa

    Aadhibiwe kwa Sheria ipi?! Au aadhibiwe kimagumashi au kwa rejea ipi?!
  4. I

    JamiiForums Tanzania Ukishangaa ya Polepole usisahau kushangaa ya mwendazake na Mama

    Anaruhusiwa kuokoka, na huenda akawa mwema kuliko alivyo kuwa mwanzo.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Lissu & Gwajima mmekosa shukrani (video)

    Tuko pa1, safi sana ukiwa unajitambua na unafahamu kuwa unajitambua.💯👏
  6. I

    JamiiForums Tanzania Lissu & Gwajima mmekosa shukrani (video)

    Niko somewhere sheikh....... Means hoja ya msingi sijaiona kutoka kwa huyo sheikh.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Lissu & Gwajima mmekosa shukrani (video)

    Mtu anaweza kutema uchafu ila wale wakaona ni madini!
  8. I

    JamiiForums Tanzania Hapa nani kaingia kwenye mfumo?

    Heko! Hoja iko vema. Ushauri, ikikupendeza hoja zako wajibu wale welevu (panda mbegu panapofaa). Wale wapumbavu(wanaojitoa ufahamu/chawa/washezi/punguani), ikifaa usiwajibu! Wapumbavu wengi, welevu wachache!
  9. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Moto wa No Reforms No Election watinga Igima, Mlimba. Wananchi waitika, Heche aongoza Tone Tone

    Wale wengine wanatapatapa, sio ajabu kwa binadamu anayetapatapa, pasi matumaini ya kuishi!
  10. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Moto wa No Reforms No Election watinga Igima, Mlimba. Wananchi waitika, Heche aongoza Tone Tone

    Chadema kwa sasa imekuwa imani, inatawala imani za watanzania.
  11. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM yarekebisha Katiba yake, kwanini ya nchi wanakwama?

    Hujui kuwa katiba ikibadilishwa ndio anguko lao?!
  12. I

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni mbona Mimi naona huu ni upumbavu USIO faa Kufanywa na Jaji?unafuta ruzuku kwa mtu hasiyeshiriki uchaguzi SI ameisha ikataa outomatic?

    Kiumbe kilichokufa muda mfupi uliopita, hutoa harufu inayofanana na mzoga. Usiishangae hiyo harufu!
Back
Top Bottom