Recent content by intellect_reality

  1. intellect_reality

    RSM (Regimental Sergeant Major) wa Jeshi la Wananchi - JWTZ

    Nina swali wakuu,hivi ukitoa tattoo hizi alama zingine Kama za tetekuwanga(pox) au black dots kwenye miguu mfano je itafaa?
  2. intellect_reality

    Mfano wa barua ya maombi nafasi JKT 2022

    Nina swali wakuu,hivi ukitoa tattoo hizi alama zingine Kama za tetekuwanga(pox) au black dots kwenye miguu mfano je itafaa?
  3. intellect_reality

    Hii ya JKT ni kweli au imekaaje?

    Nina swali wakuu, hivi ukitoa tattoo hizi alama zingine Kama za tetekuwanga (pox) au black dots kwenye miguu mfano Je itafaa?
  4. intellect_reality

    Gharama za kutoa gari Zanzibar 2022

    Bado sijailipia hiyo 5M naitaj kujua GHARAMA kwanza ndio nilipie
  5. intellect_reality

    Gharama za kutoa gari Zanzibar 2022

    Habari wanamaendeleo, nimepata gari nzuri IST kwa Tsh 5M Kule zanzibar, na nimeipenda sana namba 130HL, nahitaji kuileta huku Tz bara, na sijui naanzia wapi Nahitaji full details na GHARAMA zinaweza kuwa kiasi gani mpaka naingia barabarani. Nitangulize shukran
  6. intellect_reality

    Biashara yangu imefilisika mtaji kutoka milioni 50 hadi 15. Nifanye nini?

    Mimi nashauri asifanye biashara yeyote kwa Sasa,nafuta deiwaka Kama mwaka mmoja Kisha Anza kufikiria tena biashara mpya utakuja nishukuru
  7. intellect_reality

    Utaratibu wa kupata ajira Canada gharama zipoje?

    Habari za mida wanazengo, Kama kichwChcha habari kinavyojielezea, naitaj kujua ni njia gani kwa mwaka huu 2022 zinaweza kutumika kupata permanent residence Canada na kupata kazi yeyote ya kuanzia na itagharimu kiasi gani process yote? NATANGULIZA ASANTE.
  8. intellect_reality

    Kwanini mshahara mkubwa hauhusiani na kipato?

    Habari wanazengo, Leo hii nimekuja kumaliza misconceptions na mijadala ya uoga waliokua nayo vijana mitaani, nimekua nikiona nyuzi nyingi humu zikiwapotosha vijana kuhusu uhitaji na vigezo vya kufanikiwa, lakini nimeona nisikae tena kimya wakati naona vijana wenzangu wanapotea, hivyo nimeamua...
Back
Top Bottom