Hatimaye nimeamini wanawake hawaridhiki na ndoa zao, weekend Moja Mndewa nilikua nakatiza maeneo yangu hivi Mishale ya saa nne hivi nikiwa nimeshika chupa ya mo extra nilichanganya na K vant.
Asa nikakuta na rafiki yangu wa kike ghafla akaniomba Ile chupa nikamkatalia lakini akanipokonya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.