Recent content by INSURER

  1. I

    JamiiForums Tanzania MASTERS IN INTERNATIONAL BUSINESS-UDSM

    Wanabodi, nimeona nirudi shule maana uzee nao huo jirani ...nimevutiwa na Masters in international business pale UDSM baada ya kureview programme contents na kujiridhisha kuwa nitaongeza kitu....naomba kwa anayefahamu hii program kwa evening inafundishwa mara ngapi kwa wiki? Siku zipi za...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Japo Ruti ya Maandamano ya UKUTA Sio Kuelekea Direction ya Ikulu ila. ..

    Hahaha ....I like this ..
  3. I

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Catalunya Mwenge si salama

    Asante. Nipo nafatilia kwa karibu sana
  4. I

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Catalunya Mwenge si salama

    Kuna mazingira unaweza kulazimika. Ila nimetoa tahadhari naamini wapo watakaochukua tahadhari zaidi.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Catalunya Mwenge si salama

    Wakuu jana baada ya pilika za kazi nilikuwa na ratiba ya kukutana na rafiki zangu hapo Catalunya opposite na Calabash kwa mazungumzo maalum.Nilipofika Mlinzi wa pale (Masai) akanieleza sehemu ya kupaki. Ndani ya gari nikaacha begi lenye laptop na vitu vingine lakini kwa taadhari nilishaliweka...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Suzuki carry inauzwa tsh 5,990,000 tu!

    Wanajamii Forum, Kuna mtu wangu wa karibu ameomba niweke tangazo hili hapa.Suzuki Carry ni ya mwaka 1998 na bei mnaweza kuwasiliana na kukubaliana. Kwa mawasiliano zaidi mpigieni namba 0717601432.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

    Tunalea ujinga na Kanisa linaendelea kuomba serikali dhaifu kuchukua hatua!! Kanisa lichukue hatua ngumu kidogo kukomesha hili! Nikisema hatua ngumu kidogo najua jinsi Kanisa linachoweza kufanya ktk mazingira hatarishi kuinjilisha au hata imani za waamini kuwa mashakani na hofu kuu.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa tzs 2,000,000 tu!

    Asanteni wadau, the deal is officially :closed_2:.
  9. I

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa tzs 2,000,000 tu!

    :A S-coffee:
  10. I

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa tzs 2,000,000 tu!

    Bado kipo mkuu.Karibu
  11. I

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa tzs 2,000,000 tu!

    :ranger:
  12. I

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa tzs 2,000,000 tu!

    Asante check PM
  13. I

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa tzs 2,000,000 tu!

    Shukrani mkuu,dharura ndio inafanya niuze lakini nilikuwa na malengo makubwa na hilo eneo longtime.
  14. I

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa tzs 2,000,000 tu!

    Mkuu sifahamu ilipo hiyo shule maana si mwenyeji wa huko ila kiwanja kilipo unafika magari yanapogeuzia pale Kisemvule mjini (kama vituo vinne kutoka vikindu) then kuna njia karibu na hospitali ya wakatoliki unashuka nayo kama dk 10 tu kwa bodaboda au gari.Ni karibu na inapojengwa zahanati...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa tzs 2,000,000 tu!

    Ni kweli!! nauza kwasababu ya Dharura tu!!
Back
Top Bottom