Wanabodi, nimeona nirudi shule maana uzee nao huo jirani ...nimevutiwa na Masters in international business pale UDSM baada ya kureview programme contents na kujiridhisha kuwa nitaongeza kitu....naomba kwa anayefahamu hii program kwa evening inafundishwa mara ngapi kwa wiki? Siku zipi za darasani? Nataka kuona kama shule haitaharibu michakato ya kutafuta ugali ....Asanteni ...