Recent content by insuperable

  1. insuperable

    JamiiForums Tanzania Doto Mashaka Biteko: Kutoka Ualimu, Ubunge atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kijana

    Niwekee taaluma ya Mbowe,Lema,Sugu na Mnyika
  2. insuperable

    JamiiForums Tanzania Mitihani ya kidato cha sita 2023 ilikuwa below standard

    Lakini kwa upande wa matokeo ya ualimu sidhani kama kuna distinction,lakini hakuna anayeliongelea hilo
  3. insuperable

    JamiiForums Tanzania Kubadili combination A Level

    Hawaangalii division wanaangalia pointi za masomo husika
  4. insuperable

    JamiiForums Tanzania Serikali, hiki mnachokifanya hakikubaliki!

    "m16"!?....wewe huyu ndo uwashauri wakuelewe?
  5. insuperable

    JamiiForums Tanzania Fei Toto kukata rufaa rasmi CAS aomba mchango wa pesa kwa Watanzania

    Hii ni mbinu ya utakatishaji wa fedha!
  6. insuperable

    JamiiForums Tanzania Tanzania Football Best XI Of All Time

    Huwezi kumuacha mfungaji wa muda wote Mrisho Ngassa
  7. insuperable

    JamiiForums Tanzania Busanda : Chadema yatikisa , Mji wa Katoro Waelemewa na Umati wa Watu , Tundu Lissu azungumzia mgomo wa Kariakoo

    Hapo hata bila mkutano ,,wakati wote kuna watu nyomi
  8. insuperable

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu

    Nenda chuo ukasome kozi ya marketing vyuo vingi unapata maana una D zaidi ya nne
  9. insuperable

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji: Tulipofungwa na Raja nililia sana ndani ya gari

    Ajiandae kulia tena wakienda morocco
  10. insuperable

    JamiiForums Tanzania Miradi mitano ya kikmkakati ambayo serikali yafaa kuitekeleza ili baada ya miradi ya kikmkakati iliyopo kukamilika

    Hivi hatuwezi kuwa wakala wa stendi za mabasi?....kwangu naona ni muhimu sana
  11. insuperable

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yule kibonge simtaki tena

    Tupo wengi
  12. insuperable

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Dkt. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF wala kumiliki kadi

    Ipo siku Mungu atamuinua tena zaidi Bashiru katika nafasi ya Urais,hakika tutakuwa tumekombolewa kwelikweli!.
  13. insuperable

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Dkt. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF wala kumiliki kadi

    Hata mimi naamini hivyo!
  14. insuperable

    JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: Hoja za NECTA kufuta utaratibu wa kutangaza shule bora na wanafunzi bora hazina mantiki kwa 100%

    Hapo mwisho umeua sana mkuu...safi sana
Back
Top Bottom