Recent content by Insipectakomba

  1. I

    JamiiForums Tanzania Mambo 5 Niliyoyaona Leo Stars Ikifuzu Kundi lake na Ushauri kwa Kocha Hemed Morocco Anayewajaribu Wachezaji kwenye CHAN

    upo sahihi ,,ni dhahiri hata kina saduni sijui waliingiaje kikosini ili hali kuna ina chikola wanaachwa
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kuna clip ya dada mmoja anaelezea kifo cha Mwendake, mazingira yake na kuna vigogo kawatuhumu kwa kuwataja majina

    Du hata mwenyewe nimeisikiliza ile clip jana mpaka nimejiuliza hivi kweli huyu dada anaishi Tanzania hapa hapa mana siyo kwa maneno yale 🤔🤔
  3. I

    JamiiForums Tanzania kuna tapeli yupo Moshi linatapeli watu na dola feki

    Du 😂 yani binadamu wa leo ni hatari kuliko hata mnyama
  4. I

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kassim Majaliwa atangaza ghafla kutogombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa

    Hakipo kikatiba lakini pia katiba inamruhusu Rais kuanzisha nafasi yoyote ya kiuongozi kwa jinsi atakavyoona inafaa
  5. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wachungaji Wasabato Tanzania na Kenya: Viongozi wa Dini wasiwe Wanasiasa

    kuna kiongozi mmoja wa dini aliwauliza swali kuhusu hiyo ishu ya kuchanganya dini na siasa hamjamjibu hadi leo ,,swali lake aliwahoji mbona wanapojenga shule hamuwaatahadhirishi kuwa wanaiingilia serikali na wanachanganya elimu na dini ? Wanapojenga hospitali mbona hamuwatahadharishi...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Juma Homera hatutaki kukuona Namtumbo

    Mbunge anachaguliwa na nani ? Kama wananchi hawakutaki utatoboa ?
  7. I

    JamiiForums Tanzania Bwege: Samia sio Mungu / baba mkwe wa Mchengerwa atalipwa pensheni / hajajenga barabarani kodi zetu

    Walimkata mguu mmoja kutokana na maradhi ya kisukari
  8. I

    JamiiForums Tanzania Niombeeni nimechaguliwa kwenda Congo kuwaondoa m23 kundi letu linaondoka Jumanne

    Mkuu siyo kwa ubaya lakini ,,,mbona nilisikiaga hii ishu kama wanaombaga kwenda au yule ndugu yangu alinidanganya 🤔🤔🤔🤔
  9. I

    JamiiForums Tanzania Nimekuta video chafu ya ngono ya mume wangu na boss wake

    Hiyo ya kuomba kurushiwa picha ni kama sababu tu ya kujificha but lengo lako lilikuwa ni kukagua simu ya mumeo sasa unapoingia kwenye simu ya mtu bila ridhaa yake lolote unalokutana nalo huna haja ya kulalamikia umelitafuta mwenyewe kwa mikono 2 hivyo mshukuru mola tu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
  10. I

    JamiiForums Tanzania Yanga kushindwa kutinga robo fainali sababu kubwa

    Mbona Guinea aliruhusu hilo mbele ya stars ?? Hii kitu siyo siyo kuruhusu bali unalazimishwa kiuhalisia mechi za maamuzi kama hizi zinataka wachezaji kujitoa na kujitambua wanaenda kufanya nini uwanjani pia hata kocha kuwa na mbinu zaidi ya moja ,, fullback za pembeni muda wote wakipata mpira...
  11. I

  12. I

  13. I

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe bado ana utoto mwingi anaigharimu timu

    Kama hawakuwa na timu ya ushindani hapo walifikaje ?? Mpira una matokeo 3 na kila mshiriki anastahili kushinda ikiwa itawezekana hivyo mimi sioni ajabu hapo
Back
Top Bottom