Recent content by innojembe

  1. innojembe

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    😂😂😂afu likizo
  2. innojembe

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hello humu ndani mpo
  3. innojembe

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Jamani mi napita tu kuwajulia hali na kuwapa matumaini kuwa inawezekana wekeni nia kama ndiko MUNGU kapaandika basi patakua[emoji1488] mi nko kwenye mchanganyiko wa nyuki wadogo wa nyigu lakini ndo hivo hivo tunasema inshaalah
  4. innojembe

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kwahyo hiyo BAHATI inakuja siku ya interview ukibaki nyumbani?, au ukijibu ovyo bahati inakuja? Nshasema kama ni BAHATI basi iyo ni FINAL STATEMENT kinachoanza ni jitihada ambazo baadae zitaibeba iyo BAHATI ila usije kumuona kila aliefanikiwa (kwa njia halali) ukasema ni bahati!!!! Mpe PONGEZI...
  5. innojembe

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Tunatofautiana kimawazo kiufupi nimeshafanya interview mbalimbali zipo nlizofeli na zipo nlizofaulu kwa baadhi ya sekta zenye mikataba ya muda flani ila izo hints sijazichambua vyema kwa kua ninakua bize ila nliziweka kwa ufupi ili anaenda kwenye interview ivi soon azichakate mwenyewe kabla ya...
  6. innojembe

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kabla cjashusha hints boresha 1.CONFIDENCE 2.SILENCE (unapokua na wenzio) 3.FOCUS ON WHAT YOU HAVE KUMKICHWA 4.BE CREATIVE and AGGRESSIVE KWA KILA UNACHOONGEA AU KUANDIKA
  7. innojembe

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mimi alwatan innojembe niko bize na maswala ya kazi saivi ila nawasihi msiache kwenda kwenye interview,msiache kuapply kazi,msiache kujiweka fresh kwa kusoma research na kujipanga vyema....amini niwmbieni UTUMISHI 95% hakuna ubaguzi wala ukabila kama uko vyema sawa na sifa zao nafasi...
  8. innojembe

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kuwa na pesa ndani ya utumishi wa umma tafuta sehemu nzuri bila kujali kiwango cha elimu yako. Kama unatafuta vyeo tafuta Masters

    Kwan mafundi wa veta wenye elimu ya certificate level 2/3 wanalipwa shingap kwenye taasisi za serikali?
  9. innojembe

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ndyo na kada mmefanana
  10. innojembe

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ambacho nafikilia kuusu mfumo wa utumishi “hivi imetokea sasa mfano watu wawili tofauti wanaofanana majina yote Matatu mfano SATO SANGARA DAGAA waliofanya interview ya ORAL siku zinatokea selection za ajira na amefaulu mmoja Kati ya hao watu wawili Nani atajijua ndio kafaulu? Kama hawatoi...
  11. innojembe

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Inshu nyepesi tu piga kama Utumishi wako fair jipe kazi jipangie mshahara na mazingira ya kazi yaweke poa then anza kujiwish humu JF then potea uanze majukumu yako[emoji28][emoji28][emoji28]
  12. innojembe

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ivi na izo barua zao za kwenda kujaza zinakuaga na technique za kiufundi kwa watu kama sisi ambao tulikua majobless mkomao yani hatujaoa maana kuna muda naskiaga watumishi hasa walimu wanasema wao waliandikisha wanatoka mbali yani kama mtu anafanya kazi mwanza anaandika kwao kabsa ni labda...
  13. innojembe

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hakuna kukataTAMAA NI KUMWAMINI MUNGU TU
  14. innojembe

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Asanteeeeni sana muendelee kutuombea pia maana kuna na kufukuzwa[emoji28]
  15. innojembe

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hapa fresh
Back
Top Bottom