Recent content by innocent swai

  1. I

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

    Nchi za wenzetu kiongozi akikosea huwa anajiuzulu mara moja sasa hawa wa kitanzania hawaelewi kama wamekosea huwa wanaziba masikio na kama kawaida ya watanzania baada ya muda mfupi inakuwa siyo issue tena.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Katie Gee, "A Muslim woman just hit me in the street for singing on Ramadan. Is that normal?

    Hakuna dini inayoshabikia watu kudhuru wenzao,hata dini za mashetani haziungi mkono hoja za kipumbavu kama hizi,huu ni unyangau uliopindukia,ili kukomesha huu ushenzi,na ili serikali yetu irudishe heshima yake katika jumuiya ya kimataifa ni bora watu waliofanya tendo hili wakidhibitika wanyongwe...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Katie Gee, "A Muslim woman just hit me in the street for singing on Ramadan. Is that normal?

    Kuna umuhimu wa serikali ya Zanzibar kuangalia upya kama bado wanahitaji uhusiano na mataifa ya nje au wanatamani waendelee kubaki kuwa kisiwa,ndugu zao wa Tanzania Bara wananyanyaswa visiwani,mapadre wanapigwa risasi,wengine wanauwawa,sasa wameamua kuwajeruhi na kuwatia vilema watoto wadogo...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Naenda kummaliza nguvu za kiume!!!

    Kazi ipo mtandao mkubwa jiulizeni mpo wangapi
  5. I

    JamiiForums Tanzania Naenda kummaliza nguvu za kiume!!!

    Huyo mwanaume ni kiboko kama mpo wawili bado hatosheki jihadharini vvu ipo karibu hapo ni network jiulizeni mpo wangapi?
  6. I

    JamiiForums Tanzania Police wachafua hali ya hewa kwenye kijiji cha Kakola

    Vijana wanatekeleza agizo la waziri mkuu,wamechoka kufuata utawala wa sheria na sasa kilichobakia ni kupiga tu mpaka watanzania wanyooke nachelea matokeo ya upigaji huu yanajenga usugu kwa wananchi na matokeo ya watu kuwa sugu yanajulikana ulimwenguni kote.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mbowe anatarajia kutua Mbeya Leo Polis wametanda eneo la Mafiati!!!!!!!!!!!

    Karibu sana kamanda ukombozi wa Taifa letu unakaribia
  8. I

    JamiiForums Tanzania Ninalaani vikali kukamatwa kwa Lema! CHADEMA msipochora mstari...

    Kama ambavyo nimekuwa nasema kila mara ,Taifa letu linaelekea kuangamia kwa kukosa viongozi waadilifu na wenye weledi katika uongozi,na kwa vile hawapendi kushughulisha bongo zao ili waweze kufikia uamuzi sahihi wanaona njia nyepesi ya kutatua matatizo ni kutumia mabavu.Wanafunzi wa chuo cha...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Wanyakyusa bwana kila mmoja anajiita mchungaji

    Kila baada ya nyumba mbili kuna kanisa,lakini kila siku ukisoma Mbeya blog mara mtoto kauwawa kikatili katolewa viungo ,hebu watueleze faida ya haya makanisa kila kona.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

    Kweli watanzania tumekwisha mwanasheria mwenye digrii akafundishe kiingereza kidato cha kwanza au mchumi akafundishe hesabu,mimi nawashauri wabunge ambao wanaona hawana uwezo wa kujenga hoja za kitaalam na za kisayansi kufikia suluhisho la kushuka kwa ubora wa elimu Tanzania si wakae kimya tu...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

    Nafikiri Mwigulu ni tatizo kila mahali hata kwa chama chake,sio mtu wa kucheka naye atawafikisha pabaya,maneno yake hayana staha,heshima wala uvumilivu wa kisiasa,yeye siasa anaona kama vile ni vita,ugomvi,uadui na uhasama wakati kukosoana ni jambo la kawaida kabisa katika siasa,huyu mtu naona...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Afisa polisi amdunda hakimu wilaya

    Huu ni ukosefu wa maadili katika utumishi wa uma ,nafikiri kuna haja ya kufanya uchunguzi wa kina ili kubaini chanzo cha watumishi wa uma kupigana katika ofisi ya serikali na ikithibitika chanzo hatua kali za kisheria na kinidhamu zichukuliwe dhidi ya wahusika wa kadhia hii ili kuendelea kujenga...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Picha: Ndg Philip Mangula na Yolanda Kaberege wameremeta leo huko Njombe!

    Hongera mzee Mangula kwa kupata jiko.
  14. I

    JamiiForums Tanzania Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

    Mungu awasaidie CDM maana CCM wanafanya kazi kubwa ili wasambaratike,ingawa sioni kama kazi wanayofanya ndiyo watanzania wanayoitaka,mimi ninafikiri badala ya CCM kubaki wanahangaika na CDM kila kukicha wafanye kazi ya kujenga chama chao pamoja na kuonyesha kwa vitendo yale wanayofanya wakati...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

    Kikwete ona watu wako hawa sasa wanakudhalilisha ,mtu kama huyu hivi polisi wa huko Iramba mpo likizo au kama kawaida yenu mnasubiri mpinzani afanye ndo mchukue hatua?usalama wa Taifa mko wapi?watu wanahatarisha amani ya nchi nyie mnaangalia tu?huyu mtu alienda Arumeru katoa kashfa za kutosha...
Back
Top Bottom