Recent content by Inkoskaz

  1. Inkoskaz

    Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

    Watu humu wa ajabu sana...kwani ni mahakama hii au nyumba ya ibada? Mara wahoji bangili,mara ualimu kasoma lini mara chumvi imezidi sijui.. hizo zote ni dalili za mastress na madepression...kama story iwe ya fiction au real hayo hayatuhusu ni juu yake msimuliaji...sisi hapa ni burudani tu! Hebu...
  2. Inkoskaz

    Salome Mgaya (Mama Kibonge) akamatwa kwa ukwepaji Kodi za Mabilioni ya fedha Bandarini

    Yule wa container 15 na kudaiwa bilioni 30 mara 10 mara 3.5 ndiyo wa mapicha picha na mkubwa?
  3. Inkoskaz

    Utapeli wa Dawa ya 'HIT' katika kuua Mbu

    𝖧𝗂𝗓𝗂 𝗓𝖺 𝗌𝗂𝗄𝗎 𝗁𝗂𝗓𝗂 𝗌𝗂𝗈 𝖧𝖨𝖳 𝗈𝗀..𝗐𝖺𝗁𝗎𝗇𝗂 𝗐𝖺𝗅𝗂𝗉𝗈𝗈𝗇𝖺 𝗓𝗂𝗇𝖺 𝗃𝗂𝗇𝖺 𝗐𝖺𝗄𝖺𝖾𝗇𝖽𝖺 𝗄𝗎𝖿𝗒𝖺𝗍𝗎𝖺 𝖢𝗁𝗂𝗇𝖺..𝗄𝗂𝗇𝖺𝖼𝗁𝗈𝖿𝖺𝗇𝖺𝗇𝖺 𝗇𝗂 𝗄𝗈𝗉𝗈 𝗍𝗎 𝗇𝖺 𝗁𝖺𝗋𝗎𝖿𝗎
  4. Inkoskaz

    Emotional Intelligence ni nini? Unawezaje kuifikia au kuipata?

    Kulingana na Wanasaikolojia,kuna aina nne za Akili: 1)Kiasi cha akili ya Uelewa (IQ)- Intelligence Quotient. 2) Kiwango cha akili ya Kihisia (EQ)- Emotional Quotient. 3) Kiwango cha akili ya kushiriki mambo ya Kijamii (SQ)- Social Quotient. 4) Kiwango cha akili ya kuhimili Shida...
  5. Inkoskaz

    Kilio chetu kwa Rais Samia: Tunaomba PayPal iruhusiwe nchini Tanzania

    Ndiyo maana watu wanadai Katiba mpya! Kila kitu hakiwezi kuwa kwenye mamlaka ya Rais inaweza kuwa vingine hata yeye binafsi havijui matumizi yake na wasaidizi wake nao wamekariri mambo! Ungeomba kuongezwa urefu wa kamba ndiyo terms zinaeleweka huko hizo PayPal,NFT, Crypto etc imekuwa dhambi kama...
Back
Top Bottom