Jmn me naomba kuvijua vyuo vya serikali vinavyotoa kozi ya medical laboratory na ada zake pia na vigezo vyakusoma kozi hiyo na kwamtu anaeanzia diploma atasoma kozi hyo kwa mudagani
Wakuu,
kuna chuo kimeorodhesh hizi kozi mbili kuwa zinatolewa sasa mmi sijaelewa tofauti yake maana kwa mimi nimeona Kama vile zinafanana lakini wao wamezitofautisha hata muda wake wakuzisoma nitofauti na ada yake pia ni tofauti anae zifahamu anielezee vizuri nizielewe kwa upana zaidi.
Duuu nikwel ndg yng lkn ktk maish ukiona mtu anafanya vitu vyaajabu na vinapata tija mbele zawatu basi tatzo sio yeye ni ilejamii inayo msapot yeye kufany ivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.