Naomba kujuzwa tofauti ya Ordinary Diploma in Clinical Medicine na Ordinary Diploma in Clinical Medicine (upgrading)

Jun 5, 2019
54
125
Wakuu,

kuna chuo kimeorodhesh hizi kozi mbili kuwa zinatolewa sasa mmi sijaelewa tofauti yake maana kwa mimi nimeona Kama vile zinafanana lakini wao wamezitofautisha hata muda wake wakuzisoma nitofauti na ada yake pia ni tofauti anae zifahamu anielezee vizuri nizielewe kwa upana zaidi.
 
Apr 29, 2020
23
45

Sorry mkuu ivi nacte wameshafungua dirisha la usajili kwa mwaka wa masomo 2020/2021?
 
kacherema

Senior Member
Oct 3, 2017
107
225
Wakuu,

kuna chuo kimeorodhesh hizi kozi mbili kuwa zinatolewa sasa mmi sijaelewa tofauti yake maana kwa mimi nimeona Kama vile zinafanana lakini wao wamezitofautisha hata muda wake wakuzisoma nitofauti na ada yake pia ni tofauti anae zifahamu anielezee vizuri nizielewe kwa upana zaidi.
Kwa kukazia jibu, Ordinary diploma in clinical medicine(3yrs) ni kwa mtu wa form four au form six ambaye ndiyo anaanza hii kozi alafu Upgrading(kujiendeleza) ni kwa aliyesoma hii kozi ya Clinical medicine kwa ngazi ya Technician certificate miaka miwili yani NTA level 4&5 na sasa anahitaji kujiendeleza na level moja aliyibakisha(NTA level 6) ili awe na Diploma. Kwahiyo upgrading diploma ni mwaka mmoja.

Pia wewe unayeanza diploma ukishafika mwaka wa pili(NTA level 5) ukiamua unaweza ukasimama baada ya mtihani ukapewa cheti cha Technician certificate alafu diploma ukaja kumalizia baadae.

NB: Wote anayesoma Technician certificate na Diploma wanaajiriwa na kutoa huduma kama maafisa tabibu. mwenye diploma ataitwa Afisa tabibu(Clinical officer) na mwenye Technician certificate ataitwa Tabibu msaidizi au (Clinical assistant).
 
Sukrani mkuu nimekupata uzur
 
Kasongo

JF-Expert Member
Jul 29, 2007
2,980
2,000
Jamani nje ya mada.Nahitaji msaada.Kuna mtoto amepangiwa Moshi Cooperative University Kizumbi Campus,Shinyanga.Sijui wanafungua lini
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom