Recent content by injinia mganga

  1. injinia mganga

    JamiiForums Tanzania UDSM vs SAUT, wapi ni bora?

    Mkuu cjakupata fresh
  2. injinia mganga

    JamiiForums Tanzania UDSM vs SAUT, wapi ni bora?

    Duuuh wenda degree ya Ngono
  3. injinia mganga

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuchelewa kujiunga na form five 2016

    Mkuuu na mm nina tatizo kama lako
  4. injinia mganga

    JamiiForums Tanzania Nashukuru serikali awamu ya 5 kwa kutujali wanufaika wa mikopo, boom la pili tayari

    Kajiandae kajiandae oo shely kajiandae
  5. injinia mganga

    JamiiForums Tanzania Ndalichako: Walimu wa sanaa wanatosha. Serikali haiwezi kuajiri walimu wa masomo hayo kwa sasa

    Ndalichako Asitisha Ajira za Walimu Wa Masomo ya Sanaa MUUNGWANA BLOG / 5 hours ago WAZIRI wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako, ametoa masharti mapya ya ajira za ualimu nchini, huku akisema Serikali haitaajiri walimu wa masomo ya sanaa (arts) kwa kuwa wapo wa...
  6. injinia mganga

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA SHULE YA A LEVEL MWANZA YENYE ADA NAFUU DAY (EGM)

    Hapo sawa ada yake Tsh ngapi?
  7. injinia mganga

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA SHULE YA A LEVEL MWANZA YENYE ADA NAFUU DAY (EGM)

    Hapana thaqafa ina title kubwa natafuta shule ambayo haina title kubwa kitaifa kwa mkoa wa mwanza
  8. injinia mganga

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA SHULE YA A LEVEL MWANZA YENYE ADA NAFUU DAY (EGM)

    Ndugu wana jf habari za wakati natafuta shule ya secondary mwanza yenye five na six ambayo ni day na yenye ada nafuu na isio na jina kubwa kitaifa mchepuo EGM Asanteni
  9. injinia mganga

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo ukipata nakutumia pesa ya bando

    Tembea kwa kurudi nyuma ukikaribia atamka jifanye humuoni rudi unapotoka atakuchukua na kukurudisha unapo taka kwenda akizani ndipo ulipo toka
  10. injinia mganga

    JamiiForums Tanzania Elimu Yetu ina Mabondemabonde

    Chuku kibeba mchanga na koleo njoo hapa home nikupe mchanga ukafukie ili tusije tukajikwaa
  11. injinia mganga

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi vyuo vya ualimu kusitisha masomo wiki mbili kusahihisha mitihani ya STD 4

    Nakuunga mkuu hata drs la7 anaweza kusahihisha yaani A,B,C, na D uzoefu unahitajika hahaha
  12. injinia mganga

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi vyuo vya ualimu kusitisha masomo wiki mbili kusahihisha mitihani ya STD 4

    Kawaida kk utashindwa kusoma A,B,C, na D
  13. injinia mganga

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wenu juu ya matokeo haya

    Hawezi rudia f3not2
Back
Top Bottom