injinia mganga
Member
- Oct 13, 2016
- 94
- 21
Ndugu wana jf habari za wakati natafuta shule ya secondary mwanza yenye five na six ambayo ni day na yenye ada nafuu na isio na jina kubwa kitaifa mchepuo EGM
Asanteni
Asanteni
Hapana thaqafa ina title kubwa natafuta shule ambayo haina title kubwa kitaifa kwa mkoa wa mwanzanenda thaqaafa high school hutojuta
Hapo sawa ada yake Tsh ngapi?taqwa high school
kuanzia lak 8 kwenda juu search mtandaoniHapo sawa ada yake Tsh ngapi?
Pow ndugu yangukuanzia lak 8 kwenda juu search mtandaoni
L[URLNdugu wana jf habari za wakati natafuta shule ya secondary mwanza yenye five na six ambayo ni day na yenye ada nafuu na isio na jina kubwa kitaifa mchepuo EGM
Asanteni
Pow ndugu yangu