Recent content by Tumbu

  1. T

    Kitila Mkumbo: Jinsi Profesa Mathew Luhanga alivyoniingiza katika taaluma(Sehemu ya pili)

    Amejieleza vizuri sasa badala yakushawishi serikali ifungue milango kwa sekta binafsi zitoe ajira, anashabikia eti bodaboda nikazi nzuri. Hapo amefeli
  2. T

    Prof. Kitila Mkumbo: Bodaboda ni muhimu kwa usafiri na ajira. Tuwakatae wanaowalaani bodaboda

    Huyo profesa aachane na ubunge akapige boda yeye na familia yake. Hebu atulie asiharibu CV yake
  3. T

    Lema: Bodaboda imekuwa ni ajira ya Laana

    Mtu anamaliza degree kisha anapiga boda, hayo hayakua malengo. Hilo nijanga Kazi hiyo sio yakujivunia. Hakuna boda anaejivunia kazi hiyo. Tatizo nikwamba hakuna mbadala ndio maana
  4. T

    Kenani Kihongosi atua Singida kuzungumza na Vijana makundi matatu

    Sasa anataka kuwaambia nini bodaboda? Anataka kuwaongezea mpunga waachane na hiyo kazi au anaenda kuwakejeli kwamba waendeshe kwa bidii?
  5. T

    Serikali kuchangia gharama za matengenezo ya kanisa lililovamiwa Geita

    Hivi wakisema kulinajisi kanisa wanamaanisha nini? Naomba kueleweshwa
  6. T

    Rais Samia afichua siri ya kuwatumbua viongozi Serikalini

    Haohao ndio wafujaji na wezi wa mali ya umma. CAG anatoa ripoti kilasiku haohao ndio wakwapuaji. Zaidi sana hapo wanagombana maana wanazidiana kwenye kukwapua.
  7. T

    Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

    Hebu wewe washawishi wanajukwaa kwamba Lema ni muongo. Usicheze na uhai wa mtu. Mtu kama alifanikiwa kuutorosha mwili usidhurike na roho isiuage mwili,muache atoe yamoyoni.
  8. T

    Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

    Kazi za kuingiza kipato zipo nyingi lakini sio zote zakujivunia. Bodaboda sio kazi ya kujivunia hata kidogo. Kunawakati watu waliaminishwa kwamba unyonge nijambo la kujisifia. Watu walijiita viongozi wa wanyonge. Nakumbuka Mbowe alisema kuambiwa wanyonge nikudharauliwa. Nilikubaliana na hoja...
  9. T

    DOKEZO Prof. Mkenda, Tambua wanasemina walimu wa sayansi waliopo Butimba TTC tokea Tabora hawajalipwa siku ya nne hii

    Watazidi kuonewa. Kwanini wasiache kuingia semina kama wakiwa na njaa hawaelewi? Ndio vizuri waelewe kwamba njaa nimbaya ndio watakua wanawaelewa watoto fukara wakifeli
  10. T

    Prof. Wajackoyah aomba Rais Samia amruhusu awekeze kwenye bangi

    Hebu amuache mama kwanza maana kama anataka kwenda na mjani pale mahala patakatifu akauwashe pale itakua patashika Laprofeseri tulia muache mama
  11. T

    Waziri Mkuu Majaliwa, ukistaajabu ya Arusha wanaojua ya Tanga wanakushangaa

    Huko jijini Arusha waziri mkuu Kasim Majaliwa amewasimamisha kazi baadhi ya watumishi wapishe uchunguzi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi. Baadhi ya tuhuma hizo zilizoelekezwa kwa mkurugenzi na timu yake ni kugawana fedha za umma na kuingizia fedha hizo kwenye akaunti binafsi za watumishi...
  12. T

    TAMISEMI njooni muondoe wezi Tanga Jiji na Mkinga

    Ummy amepiga kelele TAMISEMI na ameondolewa. Panga la mama likipita hivi karibuni ananyolewa tena.
  13. T

    Kuweka anwani za makazi kwenye makazi holela ni kupoteza fedha

    Akili ya Mabula na Lukuvi hiyo. Wamebuni dili wote mmoja kaondoka mwingine kapanda. Kufa kufaana
Back
Top Bottom