Mtu anamaliza degree kisha anapiga boda, hayo hayakua malengo. Hilo nijanga
Kazi hiyo sio yakujivunia. Hakuna boda anaejivunia kazi hiyo. Tatizo nikwamba hakuna mbadala ndio maana
Haohao ndio wafujaji na wezi wa mali ya umma.
CAG anatoa ripoti kilasiku haohao ndio wakwapuaji.
Zaidi sana hapo wanagombana maana wanazidiana kwenye kukwapua.
Hebu wewe washawishi wanajukwaa kwamba Lema ni muongo.
Usicheze na uhai wa mtu. Mtu kama alifanikiwa kuutorosha mwili usidhurike na roho isiuage mwili,muache atoe yamoyoni.
Kazi za kuingiza kipato zipo nyingi lakini sio zote zakujivunia. Bodaboda sio kazi ya kujivunia hata kidogo.
Kunawakati watu waliaminishwa kwamba unyonge nijambo la kujisifia. Watu walijiita viongozi wa wanyonge. Nakumbuka Mbowe alisema kuambiwa wanyonge nikudharauliwa. Nilikubaliana na hoja...
Watazidi kuonewa. Kwanini wasiache kuingia semina kama wakiwa na njaa hawaelewi?
Ndio vizuri waelewe kwamba njaa nimbaya ndio watakua wanawaelewa watoto fukara wakifeli
Huko jijini Arusha waziri mkuu Kasim Majaliwa amewasimamisha kazi baadhi ya watumishi wapishe uchunguzi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi.
Baadhi ya tuhuma hizo zilizoelekezwa kwa mkurugenzi na timu yake ni kugawana fedha za umma na kuingizia fedha hizo kwenye akaunti binafsi za watumishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.