Recent content by Influenza

  1. Influenza

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapata Daktari Bingwa wa kwanza wa Mfumo wa Chakula na Ini kwa Watoto

    Ni jambo jema, tufanye jitihada sasa asiwe mwenyewe
  2. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mafwele azuiwa kuingia Marekani. Ahusishwa na Utekaji, ukiukwaji wa haki za binadamu

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imemtaja Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Tanzania (TPF), Faustine Jackson Mafwele, chini ya Kifungu cha 7031(c), ikisema kuna taarifa za kuaminika zinazomhusisha na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Uamuzi huo unamzuia Mafwele kuingia nchini...
  3. Influenza

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) - Karibu utupatie maoni, ushauri au kutoa dukuduku

    Karibuni Jukwaani…tupo pamoja
  4. Influenza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Seneta Methu, akiwa mbele ya Rais Ruto: Rais Ruto nakuheshimu ila sikuogopi...

    Seneta John Methu alimkabili Rais William Ruto wakati wa ibada ya mazishi ya Mbunge wa Ol Kalou marehemu David Njuguna Kiaraho katika Kaunti ya Nyandarua. Wakati wa ibada hiyo, Methu alimwambia Rais kuwa anamuheshimu lakini hamwogopi. Kauli hizo, ambazo pia zilijumuisha ukosoaji wa utendaji wa...
  5. Influenza

    JamiiForums Tanzania TANZIA Eric Dane, nyota wa “Grey’s Anatomy” na “Euphoria”, afariki dunia mwaka mmoja baada ya kutangaza kugundulika na ugonjwa wa ALS

    Eric Dane, mwigizaji mwenye sura ya kuvutia na haiba aliyewasha moto katika tamthilia ya “Grey’s Anatomy” wakati tamthilia hiyo ilipokuwa kwenye kilele cha umaarufu, amefariki dunia, kwa mujibu wa msemaji wake. Alikuwa na umri wa miaka 53. “Tukiwa na huzuni kubwa, tunawashirikisha kwamba Eric...
  6. Influenza

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufungua Ofisi, Ubalozi wa Somalia sasa kuzindua makazi mapya ya Balozi

    Ubalozi wa Somalia nchini Tanzania unatarajiwa kuzindua rasmi makazi mapya ya Balozi yaliyojengwa hivi karibuni. Hatua hii ni sehemu muhimu ya mkakati unaoendelea wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Somalia wa kuboresha na kuimarisha mali zake za kidiplomasia pamoja na kuinua hadhi ya mwonekano na...
  7. Influenza

    JamiiForums Tanzania BRELA yadaiwa kudukuliwa, takriban rekodi Milioni 10.2 za Wafanyabiashara huenda zikaathirika au kuvuja

    Kwa mujibu wa VECERT, kampuni inayojishughulisha na Cyber Threat Intelligence (CTI) na usalama wa mtandao, ikibobea katika utafiti wa kina wa wahalifu wa mtandao na intelijensia, imeeleza kuwa BRELA imedukuliwa (hacked) jana. VECERT imetaja kuwa mhalifu wa mtandao anayejulikana kama...
  8. Influenza

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Bobi Wine: I manage to escape from Police, currently I am not home

    Through his X (Twitter) account, the Presidential Candidate from Oppostion, Robert Kyagulanyi Ssentamu assured his followers that he manage to escape the Police after information circulating that he was taken from his home yesterday and his whereabout was unknown. He said: Last night was very...
  9. Influenza

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni: Serikali imejenga miundombinu ya Intaneti, kuizima ni kama kufunga barabara kwa muda. Upinzani ni wezi wa kura ila umaarufu wetu unawashinda

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda amefafanua msimamo wake katika uchaguzi wa mwaka huu, ambapo anatafuta kuongeza muda wake wa uongozi kwa miaka mingine mitano, hivyo kuongeza zaidi ya miongo minne aliyokaa madarakani. Mwaka 2005, Bunge la Uganda lilipitisha marekebisho tata ya Katiba yaliyoondoa...
  10. Influenza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kufuatia Polisi kuwapiga Raia huko Nandi Hill, Mamalaka Huru ya Kusimamia Polisi yaanza Uchunguzi

    Mamlaka Huru ya Usimamizi wa Polisi (IPOA) imeanza uchunguzi baada ya video ya CCTV ya dakika nane, inayoonyesha polisi wakiwashambulia vijana katika ukumbi wa pool table wa Nandi Hills, kusambaa mitandaoni na kuzua hasira ya umma. Video hiyo, inayoonekana kurekodiwa saa 5:50 usiku wa tarehe 10...
  11. Influenza

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Tanzania waanza kuvunja nyumba za Wakimbizi katika Kambi za Nduta na Nyarugusu ikidaiwa ni 'kurudisha wakimbizi kwao kwa hiari'

    Zaidi ya nyumba 3,000 katika kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu mkoani zimevunjwa, zikiacha mamia ya familia za Wakimbizi wa Burundi bila makazi. Wakimbizi wanalaumu operesheni hii, inayotajwa kuwa ya “kurudishwa kwa hiari,” kama hatua ya kulazimisha na wanaomba Umoja wa Mataifa kuingilia kati...
  12. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la SGR, waliokuwa Waziri wa Fedha, Waziri wa Ujenzi, na Mkurugenzi wa TRC wawajibishwe!

    Mkuu, Serikali ni ya Wananchi kwa niaba ya Wananchi….wa kuwawajibisha hawa watu si viongozi wenzao maana kama nilivyosema tuna mifumo ya ajabu na ya ovyo sana. Sasa sisi wananchi, yaani mimi na wewe ndio pekee tunaweza wawajibisha kwa kutumia nguvu ya umma
  13. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la SGR, waliokuwa Waziri wa Fedha, Waziri wa Ujenzi, na Mkurugenzi wa TRC wawajibishwe!

    Serikali inatumia maneno ya ajabu sana kudanganya watu…hawaoni tu miaka imebadilika?
  14. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la SGR, waliokuwa Waziri wa Fedha, Waziri wa Ujenzi, na Mkurugenzi wa TRC wawajibishwe!

    Hiyo nguzo imepinda kabisa yaani….inaonekana iliwekwa juu kuu kama gia ya trekta za Kubota
  15. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la SGR, waliokuwa Waziri wa Fedha, Waziri wa Ujenzi, na Mkurugenzi wa TRC wawajibishwe!

    Nchi yetu inaonekana kukosa mifumo thabiti ya uwajibikaji, jambo linalosababisha watu wachache kuwa na mamlaka makubwa kupita kiasi bila kuwajibishwa ipasavyo. Mwisho wa siku, athari zake huangukia kwa wananchi. Safari za SGR zinasimamishwa, halafu Serikali inatoka na kauli kuwa ni hatua ya...
Back
Top Bottom