Recent content by INFAITH

  1. I

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo: Mafanikio na utata wa Membe kidiplomasia

    mlikuwa wapi mda wote ndo mnashtuka leo?
  2. I

    JamiiForums Tanzania Serikali kumfunga Sugu was a political mistake!

    Sheria ipi
  3. I

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Mange Kimambi uongozi ni kiti cha moto, tunahitaji support sio matusi na lawama

    Mange becomes a queen of political affairs in Tanzania.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanajidanganya Wanaweza Kumuua Mtu Marekani na Kuget away!

    Mange chapa Kazi. Watanzania wa rika zote tunakupenda sana na tunakutegemea kutupigania kwa gharama bure
  5. I

    JamiiForums Tanzania Sherehe za uhuru leo zimebana matumizi kwa kiasi kikubwa kama ifuatavyo

    Tatizo hufahamu taratibu za posho kwa maafisa wa serikali wanposhiriki hafla kama hizi
  6. I

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu nahisi nimeibiwa na Yono auction mate

    uhalali unakujaje maana ninavyofahamu YONO wao wamepewa kazi ya kukamata na wanalipwa na Serikali, tafadhali mwenye uthibitisho wa nyaraka yoyote ya hii kampuni atupie hapa nione uhalali huo
  7. I

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu nahisi nimeibiwa na Yono auction mate

    Kabla ya kueleza tukio ningependa kuuliza hivi jukumu la YONO Auction Mart ni lipi maana dada yangu anahisi kuibiwa..! Kimsingi siku chache zilizopita dada yangu alikamatwa na gari kwa kosa la kutokuwa na road lisence baada ya muda wake kuisha. Yono walikamata gari na kulipeleka kwenye ofisi zao...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa SSRA kuhusu hali na mwenendo wa NSSF

    Maoni yangu kuhusu mifuko ya hifadhi ya jamii inatakiwa kutoa mikopo kwa wanachama wake kwa riba nafuu ili kuweza kujikimu na halu ya maisha ya sasa ambayo yana mahitaji mengi ukizingatia mabadiliko yaliyokuja na serikali ya awamu ya tano ambayo ni kubana matumiz, hivyo kuwaacha watumishi hasa...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mayai ya bata mzinga

    Mimi ni mjasiriamali ambae nina Incubator ambayo kwa wastani inafyatua vifaranga vya kuku elf 12,600 kwa siku 21, mashine hii inauwezo pia wa kutotoa mayai ya bata mzinga. Nahitaji kujua ni wapi naweza pata mayai ya bata mzinga walau 500?maana nataka kutotoa ili niweze kufuga mimi mwenyewe...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunaaminishwa vibaya kuhusu CHADEMA

    naona unarudia yaleyale mawazo ya kipumbavu ya ccm
  11. I

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaoihusudu CCM?

    lkn slaa kageuka.mwiba mkali kwa.vilaza aka mizigo ya ccm
Back
Top Bottom