1.Chama kisichopenda kabisa madawa ya kulevya iwe biashara na kiburudisho kwa vijana. 2. Chama ambacho hakitahurumia wezi kwa kuwasamehe na kuamlisha warudishe walivyo iba. 3. Chama kinachotambua walala hoi hasa wakulima. 3. Chama kinachoamini kuwa ndani ya miaka 52 ya uongozi kwa nchi yenye rasilimali nyingi maisha ni bora mara sana kuliko yalivyo sasa. 4. Chama ambacho kitawajali vijana watz kwa usawa ktk elimu, matibabu, ajira na fursa sawa ktk siasa. 5. Chama kitakachoweka uwazi ktk uendeshaji. 6. Chama kitakachojali wazee. 7. Chama kitakacho ruhusu uhuru wa mawazo. 8. Chama kitakuwa na sheria za kulinda wananchi na sio maslahi ya chama na viongozi wake. 9. Chama tambuzi kwa watumishi, wanabiashara, wakulima, wastafu aina zote, walemavu. 10. Chama kisichochea udini, ukabila, ukanda, hali ya kuelemika kuliko wengine. 11. Kujua tumechelewa tunahitaji kukimbia. Ni cdm.
wengi wametoka CCM...baada ya kuona kuna ubabaishaji, upendeleo(kama sio mtoto wa kiongozi ni vigumu kupanda juu)....slaa katoka ccm baada ya kuona udhalimu na unafki mkubwa ccmsasa hapa kinyume chake,una habari kuwa CHADEMA wengi wametoka CCM baada ya juhudi za kusaka maisha ya haraka haraka kushindikana, mfano SLAA aliyeingia CHADEMA baada ya kushindwa kura za maoni?
AHADI - ALIITOA AKIWA WAPI...
- Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
- Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
- Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
- Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga
- Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
- Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
- Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
- Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
- Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
- Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
- Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
- Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
- Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera
- Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera
- Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
- Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
- Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
- Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
- Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
- Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
- Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba
- Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
- Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
- Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
- Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
- Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
- Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
- Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
- Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
- Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
- Kuboresha barabara za Igunga - Tabora
- Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu
- Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
- Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
- Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
- Kulinda haki za walemavu - Makete
- Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini
- Kujenga barabara Musoma – Mto wa Mbu Arusha - Arusha
- Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
- Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora
- Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
- Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
- Kuwafidia wanakijiji ng'ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
- Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
- Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini
- Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
- Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
- Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
- Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
- Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
- Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
- Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
- Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa
- Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
- Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
- Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
- Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
- Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar
- Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
- Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
- Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
- Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
- kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma
- Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma
- Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
- Mtwara kuwa mji wa Viwanda – Mtwara
- Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
- Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
- Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha
- etc
Tatizo sio chama,tatizo ni wanaccm walafi sanaLeo naona umeamua kuja kivingine wewe MDUBAI? ehe tuambie unaona chama kipi kinafaa kuwa mbadala wa CCM?
Tupime hayo mafanikio na hizi AHADI......
- Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
- Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
- Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
- Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga
- Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
- Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
- Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
- Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
- Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
- Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
- Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
- Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
- Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera
- Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera
- Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
- Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
- Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
- Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
- Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
- Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
- Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba
- Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
- Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
- Kujenga bandari Kasanga Rukwa
- Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
- Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
- Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
- Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
- Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
- Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
- Kuboresha barabara za Igunga - Tabora
- Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu
- Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
- Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
- Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
- Kulinda haki za walemavu - Makete
- Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini
- Kujenga barabara Musoma Mto wa Mbu Arusha - Arusha
- Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
- Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma Kaliua,Tabora
- Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
- Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
- Kuwafidia wanakijiji ngombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
- Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
- Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha Arusha mjini
- Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
- Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
- Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti Ngorongoro
- Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
- Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
- Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
- Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
- Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa
- Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
- Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
- Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
- Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
- Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar
- Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
- Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
- Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
- Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
- kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) Ruvuma
- Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania Ruvuma
- Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
- Mtwara kuwa mji wa Viwanda Mtwara
- Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
- Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
- Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha
- etc
wengi wametoka CCM...baada ya kuona kuna ubabaishaji, upendeleo(kama sio mtoto wa kiongozi ni vigumu kupanda juu)....slaa katoka ccm baada ya kuona udhalimu na unafki mkubwa ccm
wanatofautina na CHADEMA, CHADEMA wao ni walafi wa vyote mali na NGONO.Tatizo sio chama,tatizo ni wanaccm walafi sana
TEJA+KIROBA
USALITIKwani nyerere nani? Mimi namini yeye ndio chanzo cha umasikini wa wa tz inatuleteya isiya ya mzimu wa mtu aliyekufa
isome hoja yangu vzr hujailewaMTEI +MKWE WAKE(MBOWE)
SLAA +WAKE ZAKE(MSHUMBUSI, ROSE KAMILI)
NDASMBURO+ MWANAE+ MKWE(LUCY OWENYA, )
TINDU LISSU+DADA YAKE(CHISTINA)
VICENT NYERERE+SHEMEJI(LETICIA)
n.k
Mkuu hii hoja ya upendeleo usiirudie ni hatari sana kwa mstakabali wa CHADEMA) kwa sababu inaenda sambamba na udini, kati hao ndugu hakun aMuislamu hata mmoja.
sasa hapa kinyume chake,una habari kuwa CHADEMA wengi wametoka CCM baada ya juhudi za kusaka maisha ya haraka haraka kushindikana, mfano SLAA aliyeingia CHADEMA baada ya kushindwa kura za maoni?
wanatofautina na CHADEMA, CHADEMA wao ni walafi wa vyote mali na NGONO.
Ni kweli wamemalima matatizo ya Mshumbushi, JOYCE MUKYA na wengine wengi
dr.slaa ni mchumia tumbo na mroho wa madaraka, siku akiondolewa ukatibu mkuu wa chama, atahamia hata CUF
View attachment 140356SODOMA NA GOMORA a,k,a DUBAI
View attachment 140357CHADEMA kapakatwa na CCM
View attachment 140363
View attachment 140364
View attachment 140366TEJA+KIROBA
View attachment 140367teja
View attachment 140369USALITI