Recent content by Inevitable

  1. Inevitable

    JamiiForums Tanzania Mwamposa - Samia - Kapola… Naandika, nafuta!

    Na wazee wa ‘Idara’ wameruhusu hizi mambo? Nimejikuta natafakari mbwembwe zilizofanywa huko Kizimkazi, najiuliza “ILI IWEJE?” Rais anapenda mambo kama haya? Na ‘wazee wa kazi’ wakaona acha iwe hivyo?
  2. Inevitable

    JamiiForums Tanzania Mwamposa - Samia - Kapola… Naandika, nafuta!

    Hata sijui kwanini siwezi andika kilicho kichwani mwangu vema. Au basi tu 👇🏽
  3. Inevitable

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Ecuador na Mkewe Wafariki Kwenye Ajali ya Helikopta

    Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama na Ujasusi ya Ecuador (CIES), Michele Sensi-Contugi, pamoja na mkewe Stephany Hollihan, ni miongoni mwa watu saba walipoteza maisha kufuatia ajali ya helikopta iliyotokea eneo la Mlima Ololokwe, Kaunti ya Samburu nchini Kenya. Vyombo na Eneo: Helikopta aina...
  4. Inevitable

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwamposa huwa anaachwa na Serikali ya CCM kwakuwa ni ‘chawa’ wao? Hadi Mahakama ipo kimya?

    Mtu anapata uthubutu wa kudai anaweza kukuombea hadi ukafutiwa kesi, tunaona ni sawa na mabango yanawekwa barabarani? Taifa letu ni kama halina uongozi. Wote Serikalini mnaona ni sawa hii? Tuweke matangazo similar to this mtaruhusu????
  5. Inevitable

    JamiiForums Tanzania Prof. Issa Shivji: Terrorising Academic Freedom in Tanzania

    Author: Issa G. Shivji, Professor Emeritus, University of Dar es Salaam | Source: CODESRIA Bulletin Online, No. 10, July 2026 The Arrest of Melkisedeki Kitunzi Kaijage Melkisedeki Kitunzi Kaijage, an assistant lecturer in Political Science and Public Administration at the University of Dodoma...
  6. Inevitable

    JamiiForums Tanzania Kunyimwa tendo la ndoa kunakera sana

    Pole sana. Jitahidi kujiepusha na maamuzi magumu kama hayo.
  7. Inevitable

    JamiiForums Tanzania Wanawake: Ni ugaidi gani umewahi kumfanyia mwanaume na hutousahau?

    Umejua ID zao kuwa wa kiume?
  8. Inevitable

    JamiiForums Tanzania Wanawake: Ni ugaidi gani umewahi kumfanyia mwanaume na hutousahau?

    Wakati wanaume wakitamba na ‘kula tunda kimasihara’, hawajui kuwa nao huwa wanapigwa matukio kimkakati na wanawake. Kuna waliosingiziwa mimba - wakalea na kutoa matumizi miaka nenda rudi (na wengine hadi leo hawajui kuwa watoto sio wao); kuna waliotoa hela za misiba au ugonjwa usiokuwepo; kuna...
  9. Inevitable

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Kheri Mahimbali ateuliwa kuwa Mtendaji Mkuu Mpya wa TEMESA. Tutarajie mabadiliko chanya toka kwake?

    Kama ilivyo ada hapa jamvini kupashana habari moto moto zinazojiri nchini, leo kuna mabadiliko mapya kwenye moja ya Taasisi nyeti za Serikali. Taarifa iliyotolewa leo Tarehe 3 Mei, 2026 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bw. Bakari S. Machumu, inaeleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  10. Inevitable

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi Mteule wa Marekani Nchini Tanzania (Trachman) Aweka Wazi Vipaumbele Vyake Seneti, Aguswa na Uchaguzi wa 2025!

    Siku ya Jumanne, tarehe 28 Aprili 2026, Kamati ya Seneti ya Marekani inayoshughulikia Mahusiano ya Nje (Senate Foreign Relations Committee) ilimhoji Bw. William Trachman. Huyu mwamba ameteuliwa na Rais Donald Trump na kuungwa mkono na Waziri wa Mambo ya Nje Marco Rubio ili aje kuwa Balozi mpya...
  11. Inevitable

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA), hili la maegesho (parking) ni kero kubwa

    Yaani, kama na wewe unahusika huku maelezo yako yanaonyesha kwanini Tanzania inachelewa sana kwenda mbele kwenye mambo marahisi kama haya. This is a lame excuse. Kaeni huko mkajitafakari. Na la kuombwa rushwa unalionaje?
  12. Inevitable

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ufisadi Nane Nane 2024 - Mamlaka husika zichunguze mchakato mzima

    Jina la Rais linatumika KUPIGA. Kuna upigaji uliokubuhu. Tunakusanya evidence; mwisho wao uko karibu
  13. Inevitable

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ufisadi Nane Nane 2024 - Mamlaka husika zichunguze mchakato mzima

    Wangeweza “kupiga” kiasi walichopiga kwa zamu hii?
  14. Inevitable

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ufisadi Nane Nane 2024 - Mamlaka husika zichunguze mchakato mzima

    Mambo ya Bashe haya! Uchaguzi unakaribia sio?
Back
Top Bottom