Ukikutana na mwanafunzi mwenye ulemavu wa akili unaweza kumshangaza Mungu na kumchekesha shetani.
Uwezo wa kupambania masomo hana, fikra zake na stori zake ni namna ya kumvua kufuli demu mkali anaewalaza macho pale darasani.Ratiba za vigodoro, kamari na namna anavyomchukia mwalimu mnoko pale...
Huko unakoelekea utawapoteza wenzako km hukijui kitabu cha ufunuo bora ukar kimya tafuta reference zingine mpe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
jibu tamu sana hili wanaojifanya wanajua siku zote huwa kimya wanasubiri mwingine aseme ndio waanze kuleta ujuaji.
Hawa ndio wale hata shuleni walikuwa wanasubiri wenzao wafeli ndio waanze kuwananga na kujifanya walikuwa wanajua sababu zilizowafanya wafeli.
Katikati ya 2017 nilimjua kupitia gazeti la KIU ila nowdays yuko MWANANCHI.kule KIU sijajua maana kipindi nipo skuli nililipata hilo gazeti kwa urahisi ila nowdays mpk niingie town.
Huyu bwana ni ANAJUA sana sijui kwa nn media hazimchukui yaani
Umenifungua macho mimi mwenyewe najitahidi kufanya uchunguzi juu ya ubovu wa bongo movies wakati huo huo nikiandaa script za filamu.Bado naendelea kutafuta sababu za kukosa mvuyo lwa bongo movies
Mkuu wakukusikia watu wa wasafi fans jiandae matusi.Diamond ninarmpenda wa kuanzia 2014 kurudi mpk anatoka kimuziki huyu wa sasa PAKA MATE ITELEZE KAMA NYOKA PANGONI hapana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.