Recent content by Indian

  1. Indian

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu demu kaniroga nini, maana nina wiki mbili dusheee haisimamii kabisaaa.

    Wanawake wengne ukiwa nao ni kama umejitafutia lana ukiwakosea kidogo tu mtihani
  2. Indian

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Islamil Jussa, Abubakar Bakar wamjibu Prof. Kabudi kuhusu mamlaka za kisheria kwa JMT na Zanzibar

    Wabara kwenye maslahi uprofesa wanautia mfukoni. Jusa yuko vizuri sana wala anapingana kwa hoja na wala sio vitisho vya kutoleana ukali na macho.
  3. Indian

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Islamil Jussa, Abubakar Bakar wamjibu Prof. Kabudi kuhusu mamlaka za kisheria kwa JMT na Zanzibar

    Yale macho alitoa ili kibarua kisimtoke
  4. Indian

    JamiiForums Tanzania Serikali Kujenga Flyover Saba katika jiji la Dar es Salaam

    H Hakuna cha flyover ni madaraja wanadanganywa wabongo
  5. Indian

    JamiiForums Tanzania Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Dah mm namshukuru Mungu sijawahi kuingia kwenye mitego hi ya tamaa za kipumbavu, waliwahi kunipigia simu wa maqury na kilimo matapeli wote nabaki kuwacheka. Jiepushe na matamaa ya maisha hakuna shotcut.
  6. Indian

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwanasiasa maarufu, Richard Tambwe Hizza afariki Dunia. CHADEMA yatuma salamu za rambirambi

    إنالي الله وين إلايهي راجيون
  7. Indian

    JamiiForums Tanzania Serikali Kujenga Flyover Saba katika jiji la Dar es Salaam

    Flyover au madaraja 7
  8. Indian

    JamiiForums Tanzania Matepeli wa kupangisha nyumba wa kupatana wamekamatwa

    Unaogopa nini kuziweka namba zao
  9. Indian

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mmmh! dada zangu sio kwa mapenzi haya! huyu mwenzenu mpaka nimemkimbia

    Watu mnafurahisha kumbe uyu dada ana tabia mbaya
  10. Indian

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Baada ya kuujaribu uchawi wa "Chuma Ulete"

    Wanawake wengi wanapigwa miti na waganga huyu nae kama ni she hakusalimika
  11. Indian

    JamiiForums Tanzania Ajali Kinondoni Mkwajuni; Kijana 1 amegongwa na gari na kufa hapohapo

    إنالي الله وين إلايهي راجيون
  12. Indian

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Rais wa Jamhuri ana mamlaka ya kuwaagiza mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi (Zanzibar)

    Wazanzibar wachache wameridhika Zanzibar kufanywa mkoa kwakua wao wako kwenye vyeo muda huu. Wakitoka wanajilaumu kama kina Shamsi Nahodha. Hapa kuna tatizo la uroho wa madaraka tu.
  13. Indian

    JamiiForums Tanzania Mitandao mingine ya simu kama imerogwa

    Halotel ukijiunga kwa mwezi 10000 kwenye app yao wanakwambia wamekupa mb10200 ukichek kwenye salio kuna mb 6000
  14. Indian

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Viongozi wa dini wasio na maadili mema wasiruhusiwe kupeperusha bendera ya taifa!

    Huyu Shehn ni wa kukamatwa kama mwenzake Titto akapimwe akili
  15. Indian

    JamiiForums Tanzania CCM, TRA inawahujumu na itawaangusha

    U Umasikini unakusumbua
Back
Top Bottom