Recent content by Incredible Kim

  1. Incredible Kim

    ‘Whats Next’ kwa hawa walinzi wa Hayati Magufuli?

    NIKUTAJIE kafanye research huko acha uvivu kabla hujaita wenzio wajinga
  2. Incredible Kim

    ‘Whats Next’ kwa hawa walinzi wa Hayati Magufuli?

    Kwa sababu unaona wamevaa gwanda wanafanana na wale walinzi wa Security za mtaani.. nyamaza tu kama hujui uangalie michango ya watu labda utaelimika kuliko kuita watu wajinga. Huko jeshini kuna kozi nyingi sana wanapitia mpaka kufika hapo. Unazani ni rahisi tu mpaka kuwa mlinzi wa Rais.
  3. Incredible Kim

    Barack Obama kawaangusha watu weusi wa Marekani na Waafrika

    Unadhani ni lini tutamchagua kiongoz wa watu weusi?
  4. Incredible Kim

    Barack Obama kawaangusha watu weusi wa Marekani na Waafrika

    Santee niko nazipitia hoja zako mkuu.
  5. Incredible Kim

    Barack Obama kawaangusha watu weusi wa Marekani na Waafrika

    Ndugu ukoloni haukuishia tulipopewa bendera ila tuna njia ndefu mpaka kufikia Uhuru wa kiuchumi. Tulitawaliwa kisiasa na Kiuchumi kisiasa tuliachiwa kupandisha bendera zetu ila bado wanacontrol kila kitu bado tumejiingiza kwenye mikataba ya kimataifa ambapo inatubidi kufuata wanavyotaka...
  6. Incredible Kim

    Barack Obama kawaangusha watu weusi wa Marekani na Waafrika

    Hukunielewa sibishani na kazi kubwa alizofanya kama Rais wa Marekani. Obama anaondoka kama Rais kipenzi cha wamarekani wengi, mwanasiasa na mwanadiplomasia mzuri. Ila kwa upande wa kutetea haki za watu weusi wa Marekani na ndugu zake wa Africa huku tunatafuta legacy yake kwa tochi.
  7. Incredible Kim

    Barack Obama kawaangusha watu weusi wa Marekani na Waafrika

    Ni kweli kwa kiasi flani ila takwimu zinafikirisha na kuonesha kuwa wanalengwa na system. Kuna idadi kubwa wanaouwawa bila hata kuwa na silaha, vijana wengi weusi wamekua wakipikiwa kesi na mahakama kuendelea na kesi za hizo zisizo na mashiko na mengine mengi
  8. Incredible Kim

    Barack Obama kawaangusha watu weusi wa Marekani na Waafrika

    SIJAKURUPUKA kila mmoja anapimwa kutokana na nafasi aliyoipata kwenye jamii, waliokuja kumtetea Obama wamezungumzia Obamacare ambayo naona ndicho hicho tu atakachokumbukwa. Sasa kama Obamacare is his only legacy huoni kama amefanya chini ya matarajio ya wengi.
  9. Incredible Kim

    Barack Obama kawaangusha watu weusi wa Marekani na Waafrika

    Kwa hyo wewe na Barack mnaojua system mnakaa kimya mnavuta popcorns na kuangalia kwenye tv mambo yaende yenyewe. [emoji23][emoji23]
  10. Incredible Kim

    Barack Obama kawaangusha watu weusi wa Marekani na Waafrika

    Jiwe bado hajapitishwa[emoji23]. Ngoja tuone maana yaliojificha yanafichuka
  11. Incredible Kim

    Barack Obama kawaangusha watu weusi wa Marekani na Waafrika

    Mugabe alipowagusa settlers kule Zimbabwe alipigwa vikwazo mpaka leo hii wakati mpaka sasa wengi wa wale masettlers ni wazaliwa wa Zimbabwe... kama hatutaangaliana kama ndugu tutashindwa kwenye hii vita
  12. Incredible Kim

    Barack Obama kawaangusha watu weusi wa Marekani na Waafrika

    Nadhani uzi umejikita zaidi kwenye matatizo ya mtu mweusi..
  13. Incredible Kim

    Barack Obama kawaangusha watu weusi wa Marekani na Waafrika

    Napenda hoja kama hizi sio porojo..natake note Obama Care lete kingine
  14. Incredible Kim

    Barack Obama kawaangusha watu weusi wa Marekani na Waafrika

    Hatuhitaji Misaada zaidi ila kwa position aliyonayo hata kukemea hayo maovu yanayoonekana. Hauachi mambo yakaenda hovyo kwa kisingizio cha viongozi wa Afrika hawajitambui..sasa kama hao ndio viongozi wa Afrika hao wananchi huko chini hali ikoje?
Back
Top Bottom