We Lack great thinkers and decision makers in the government. Even God allowed lucifer to live though he always criticize Him. This is all about the government avoiding to be criticized and warned when it goes astray. But time will tell when the laws and acts will mean nothing and be broken...
Sidhani kama hiyo ndo namna sahihi ya kudhibiti masuala haya. Kwa njia inamaanisha naweza kulipia blog yangu nikawa huru kutusi???? La hasha. Sema tu serikali hii haipendi kusemwa wala kukanywa au kukemewa. Ukishazuia online content kwa ku impose gharama za namna hiyo ndo maendeleo yanakuja?

Huwezi kutenga siasa na dini maana wana dini ndo hao hao wanasiasa. Pia kazi kubwa ya dini ni kuwafundisha na kuwakemea watu wote kuacha kutenda dhambi pamoja na kuvunja sheria za jamii husika. Na ndo maana kunapotokea majanga jamii za dini zinaombwa kuomba na kuwaombea viongozi wa siasa sasa...
Nadhani suala hapa siyo Tamisemi kuwapangia vituo vya kazi bali inatakiwa wapangiwe kulingana na uhitaji wa kituo husika. Tamisemi kama wanapanga wao basi wapange kulingana na taarifa iliyotoka kwenye halmashauri husika juu ya uhitaji wa kila kituo cha kazi. Endapo upangaji huo umefata uhitaji...
Ko wewe unapongeza swala la kujiuza??? Ubaya wa alichokiona na kukisema nini. Kumbuka amesema alikuwa haamini sasa ameamini. Kama juu ya 'mijimama' anajua na anaamini kama wapo wanaojiuza atawaongeleaje kwa maneno sawa na aliyoyatumia?

Umedadavua vizuri kuhusu tatizo hasa ni nini mpaka matokeo kuwa mabaya. 'Big Up' kwa hilo. Ni kweli tunahitaji wasomi waliofunzika vizuri ili wainusuru Tanzania yetu na dunia kwa ujumla. Ila kumbuka kuwa huwezi kupima uwezo wa mchoraji kama hujampa vifaa kamili vya kuchorea. Kwa maelezo yako...
Siyo vizuri mtu anapotoa lile liloko kichwani mwake kulikandia bila sababu za kimsingi. Kwani kujiuza ni sifa nzuri kwa dar? Mbona jamaa anaonekana mgeni wa jiji kisa yeye kupata uhakika wa juu ya kujiuza kwa wanafunzi wa IFM? Maana yake ni kwamba yeye alikuwa anasikia tu ila alikuwa hajapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.