Recent content by incognintum

  1. I

    JamiiForums Tanzania Mawaziri kutoka Bukoba huwa wanajiamini sana tena ni watata tokea enzi za Nyerere

    Kwa kagera mwananchi kuwa na matumizi ya chini ya elfuhamsini kwa mwezi ni sawa kabisa kwasababu hawana cha kununua kila hitaji la chakula lipo hapo shambani mwaka mzima, kuanzia ndizi, maharage n.k. hivyo halmashauri itaona mkoa hauna makusanyo kwasababu wahaya wanajitosheleza kwa chakula bila...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Bidhaa 10 ambazo huruhusiwi kuziingiza Tanzania

    Vumbi LA kongo
  3. I

    JamiiForums Tanzania Bidhaa 10 ambazo huruhusiwi kuziingiza Tanzania

    Mkongo
  4. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanasema SUPER GRO

    Hii bidhaa sijawahi kuona imetajwa bei public
  5. I

    JamiiForums Tanzania Natabiri Rais Magufuli kupindua maamuzi ya Bunge dhidi ya CAG

    Kutokana na uzito wa ofisi ya CAG naona speaker kabadili maneno, anasema bunge tatizo lake sio na ofisi ya CAG bali ni Asad personal, kwa maana hiyo report ya ofisi ya CAG itajadiliwa bungeni kama kawaida ila Asad asikanyage mjengoni. Hapo naona spika anacheza na kiswahili tu. Ngoma ngumu...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Wanaotumia Udart ni moja ya kundi lenye maisha ya shida sana hapa Dar

    Huu usafiri umekuwa majanga, wangerudisha daladala za muhimbili - mbezi kupunguza adha hii. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. I

    JamiiForums Tanzania Utapeli mpya Tanzania

    Hawa Q net hata mimi siwaelewi, wasumbufu sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. I

    JamiiForums Tanzania Polisi: Hatujasikia chochote alichokisema Dr Mollel kuhusu CHADEMA kupanga kumuua Lissu, hivyo hatuna sababu ya kumuhoji

    Haya maneno aliongea bungeni au na wanahabari? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. I

    JamiiForums Tanzania Kampuni kutoka China yashinda zabuni ya BRT awamu ya pili kutoka Kariakoo hadi Mbagala

    Vituo vya kimara vina interval ya kati ya km 1 jadi 1.5, mita 500 ni pafupi sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. I

    JamiiForums Tanzania Wazungu waling'oa pua za sanamu za Misri ili kuficha ukweli kuwa chimbuko la ustaarabu duniani ni mtu mweusi.

    Kumbuka ni wazungu ndio waliwakata mikono watu weusi wasiendeleze viwanda Vya kufua chuma
  11. I

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli mfukuze kazi huyu mtu..

    Hivi navyo ni viti na meza kwa walimu? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. I

    JamiiForums Tanzania Nyoka na fimbo kwenye Noti ya Tsh 500 ina Maana gani? BoT yatoa ufafanuzi

    Hata kwenye logo ya muhimbili national hospital Kuna nyoka, wajuvi tuambieni inamaana gani?
  13. I

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata bima ya afya?

    Habari Naomba maelekezo Kuhusu kupata bima ya nhif kupitia ppf, Nahitaji Sana bima, ukilipa 60000 Hiyo ni Ada ya uanachama kwa muda gani? Ni baada ya muda gani kadi yako ya nhif inakuwa tayari ukishalipa 76000?
  14. I

    JamiiForums Tanzania Ndege kubwa ya abiria kutua uwanja wa ndege JNIA ni hatua kubwa, lakini itufunze kuwa na vipaumbele vyenye tija

    Fahamu kwamba ukiwa na uwanja bora na Wa kisasa bila kuwa na Ndege kuna biashara kubwa sana na isiyo na pressure itafanyika. Ndege kubwa zitashuka hapo ,zitalipa kodi na utalii plus biashara vya kimataifa vitafanyika , tofauti na bomberdia inayobeba ndoo za samaki kutoka mwanza.
Back
Top Bottom