Recent content by Incet

  1. I

    Jeshi la Polisi limepiga marufuku mikutano ya kisiasa na maandamano

    Hamna kitu kama hicho this is a Democratic country let people do what they think for their right ,mapolisi wa walinde tu ,hamna cha fujo wala nini, pole pole
  2. I

    Tecno mobile Mega Thread

    Jaman hz sim za oneplus zipo bongo
  3. I

    Tecno mobile Mega Thread

    Habari , nauliza hii sim ya oneplus ipo Tz na waniuzaje?
  4. I

    Hii ndiyo siri ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    <br /> <br /> SASA WEWE MWITA MBONA UNAONGEA KAMA K.. USIWE MJINGA KWA MATATIZO YA WENGI,MIMI UNANIKERA ILE MBAYA USIWE ***** JUKWAA ZIMA LINAPINGANA NA WEWE JINSI AMBAVYO HAMNA MARKET MMEBAKI JINA LAZIMA WATANZANIA WAWATOE TU NI KHERI TUKAWA KAMA LIBYA BUT NOT TO TOLERATE TORTURING LIKE THIS...
  5. I

    Mheshimiwa John Mnyika: What is Plan C

    Hv kwanini tusi ji organise ma andamano ya anze jamani mambo yashakuwa hovyo
  6. I

    Steven Wassira kaumbuka Igunga

    @ MWITA25, kwani ccm huwa mna onaga nyie,Zambi hizo mlizonazo ccm na ndio maana huoni, na usione vizuri ili sisi tunao ona tu waongoze. Wahed!
  7. I

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    @ ZAWADI NGODA ,Na ndiyo maana hili eneo limekuwepo kufumbuwa watu macho ambao hawaoni kama wewe,Hemu niambie tangu 2005 mpaka sasa niambie mafanikio ambayo yapo unayaona zaidi ya kujulikana kama waombaji wakubwa wa misaada na wakati tumekalia utajiri ambao unaliwa kijanja janja na wenye uwezo...
  8. I

    How to use JamiiForums effectively

    Nawashukuru wana jamii kwa harakati zenu nyingi tu mnazojitahidi kuzitoa kwenye jamii na kuwafumbua macho kwa wale wasiojua baadhi ya mambo
Back
Top Bottom