Naona na wewe umeamua kuchangia tu uonekane. Issue iko hivi. Mawese yote yako kigoma yakikamuliwa mafuta na alizeti yote ikikamuliwa mafuta ni 30% tu ya mafuta yanayoitajika Tanzania. 70% inayobaki inatoka nje.
Zitto ana uwezo wa kuufanya research?
Mbegu zilizopo ni za asili na zina viwango duni. Research Institution za Tanzania ndio zilitakiwa ziandae Mbegu. Wizara ya kilimo iwajibike. Alafu ndio tumzodoe Zitto kwa kutolima hiyo robo eka. Mwalimu wangu wa uchumi A level aliwahi kutuambia Wafaransa...
Kauli yake inaonyesha Viongozi wa awamu hii ni walevi wa madaraka. Yaani wanaamini kiongozi haguswi? Kwa sababu hawako na watu, hata watu hawako nao. Hii ni dalili mbaya kwa Taifa.
Kauli mbiu na sera ni vitu viwili tofauti sana. Tanzania ya viwanda ni Kauli mbiu sio sera. Hadi sasa hakuna documentation zozote zinazoonyesha tunaanzia hapa hadi hapa. Wala huwezi kumsimamisha mbunge yeyote, wala waziri wala mkuu wa mkoa akakueleza mpango kazi wa kufikia huko kwenye viwanda...
Swali nchi zote zinazozalisha matari zinapokea mashamba ya mpira? Je zinazozalisha magari na machine mbalimbali zina machimbo ya chuma, Bati au madini ya metal?
Umekomenti kwenye viwango duni.
Tuanchane na China, huko ni full dictatorship. Kwa hiyo unasema Japan hakuna mawazo kama haya.? Kwa hiyo hujawahi kusikia wajapani wakiandamana.? Hebu google uone.
Uandishi wako ni wanavyuo kiwango cha ndio mzee. Nikipata mfanyakazi wa style yako nitakuwa Bata sanaaaa!!!
Kwa Arusha kuna kampuni zinapokea ma-group ya watalii mpaka Mia kwa mkupuo mmoja na mara nyingi huwa ni wanavyuo. kwa hiyo watalii 400 si jambo la ajabu sana wanaoshuka kia ni zaidi ya 400 kwa siku. Hatuna haja ya kuwa negative Ila nikitu cha kawaida sio cha kushangaza sana. Watalii wanaoshukia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.