Recent content by in ha

  1. in ha

    JamiiForums Tanzania Graduation za shule private kuna utofauti mkubwa wa matabaka ya kiuchumi, nawaonea huruma wanaosomesha kwa kujinyima halafu watoto waje kusota kitaa

    Mkuu hiyo million tatu mbona pesa ya kawaida sana! Ukigawa kwa kila mwezi ni kama laki mbili na nusu tuu!
  2. in ha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je hapa Nina mke kweli?atumia laki tatu ndani ya wiki3 akiwa ugenini katika harus

    Mkuu laki 3 ni hela ya kawaida sana kama kaenda nyumbani,huwezi kufika kwenu halafu uachie wazazi wako wakuhudumie!.Sasa hiyo hela tena uchanganye na hekaheka za harusi aisee, hapo una mke tena muongezee hata laki 2
  3. in ha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Walimu wasifanye kazi ya kusimamia Uchaguzi

    🤣🤣🤣🤣🤣
  4. in ha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimkuta hana kitu tukafungua biashara mpaka ikafika milioni 100 lakini akanifukuza

    Sijasoma hasa baada ya kuona jina la mleta uzi nikajua tuu ni tatepa.
  5. in ha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimsomesha mpaka chuo lakini bado wakataka kunimaliza yeye na mama yake

    Vikao vya wanaume huwa huendi?
  6. in ha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho

    Tazama kijana huyu!!
  7. in ha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua mke wangu naye yupo humu JF

    Kwahiyo waliomo humu wana dunia yao peke yao?...waliomo humu ndio haohao unaokutana nao kanisani, msikitini na kwingineko.
  8. in ha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mlikaa muda gani baada ya kuoana kabla ya kupata mtoto?

    Miaka 3 bila bila , kekele zikaanza chinichini mke hazai!Mungu akashusha Baraka zake ,Ile dogo anafunga tuu mwaka ..mimba ya 2 ,,,Ile dogo nae anafunga mwaka mimba ya 3!!kelele zikaanza tena mke anazaa kama nyau[emoji1]!baasi nikaamua kuishia hapo madogo wamekua naenjoy tuu sasa!
  9. in ha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Miaka hii 43 nampataje mwenza ambaye hana mtoto

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]jf
  10. in ha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usimwamini huyo mwanamke ni nyoka anasubiri umshtue akungonge kisigino

    "Ishini nao kwa akili"ukiona umefeli kuwa handle Jua huna akili, matokeo yake mayowe tuu kama hivi Ugua pole mwaya
  11. in ha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akikwambia 'msalimie wifi', imeisha hiyo mtu wangu

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  12. in ha

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Kama nikifa leo au kesho basi mjue Harmonize ndio ameniua

    Kwahiyo anajua kuchonga mdomo tuu kupigana hawezi![emoji3]
  13. in ha

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya "Wakili msomi"?

    Kwani ukiita wakili msomi unaugua macho? Kama hutaki si uache !
  14. in ha

    JamiiForums Tanzania Barakah Da Prince asusia interview

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]we jamaa kavu kweli!
Back
Top Bottom