Recent content by Imruu

  1. Imruu

    Israel yafanya mambo ya aibu na uwendawazimu.Yatengwa na mataifa karibu yote duniani

    Kwani wanaouwawa nibmagaidi au wanawake na watoto? Au hao wanawake na watoto ndio magaidi?
  2. Imruu

    Israel yafanya mambo ya aibu na uwendawazimu.Yatengwa na mataifa karibu yote duniani

    Ina maana hao waarabu hawajapita dar es salaam hawajapita tanga hawajapita visiwani zanzibar na mafia na kama walipita vp nako ni jangwa au?
  3. Imruu

    Wadau, hivi mwenendo wa soko la ajira la Tanzania mnauonaje?

    Je tupo katika zama gani? Na mindset za vijana wasomi ziko vp?
  4. Imruu

    Wadau, hivi mwenendo wa soko la ajira la Tanzania mnauonaje?

    Umezungumzia swala la ubunifu na upambanaji wa mtu binafsi lakini topic inazungumzia soko la ajira ambalo liko governed na nchi na linategemea taaluma rasmi ambayo inasmamiwa na nchi vilevile, elewa topic kisha wasilisha maoni yako
  5. Imruu

    Wadau, hivi mwenendo wa soko la ajira la Tanzania mnauonaje?

    😂😂 Ama kweli inabidi tujiongeze na tubadili mindset zetu sisi vijana kwanza then tushajihishe mabadiliko huko juu
  6. Imruu

    Wadau, hivi mwenendo wa soko la ajira la Tanzania mnauonaje?

    Shida ni kwamba mitaala yetu ya elimu haipo standard kuendana na soko la ajira la kimataifa, yani degree ya tanzania ni aghalabu sana ukaajiriwa nchi za wenzetu huko
  7. Imruu

    Wadau, hivi mwenendo wa soko la ajira la Tanzania mnauonaje?

    Kabisa! Yani sisi tunaenda kimazoea tu lakini mwenendo wa dunia unabadilika
  8. Imruu

    Wadau, hivi mwenendo wa soko la ajira la Tanzania mnauonaje?

    Hebu nipeni mawazo yenu wakuu; hii trend ya upatikanaji wa ajira kwa upande wenu mnaionaje? Ukiangalia miaka kumi iliyopita, idadi ya fursa za ajira zilizokuwepo na idadi ya wataalamu huru waliokuwepo (wahitimu). Ukiangalia idadi ya fursa za ajira zilizokuwepo hivi sasa na idadi ya wataalamu...
Back
Top Bottom