Recent content by Imposibo_

  1. Imposibo_

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mlima wa Morogoro unaungua, Serikali ya Mkoa ingilieni kati

    Weka na kapicha mkuu
  2. Imposibo_

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

    The Great inajaza kuanzia saa 6 usiku mpaka kule bondeni Kitambaa saa 2 ishajaza Kama una akili timamu bora ukaenda The Great kuliko kitambaa cheupe sababu mambo yaliyopo kitambaa cheupe hata the great yapo isipokua mashoga tu
  3. Imposibo_

    JamiiForums Tanzania Msaada twiter yangu niki log in inagoma

    Twitter ukiwa Tanzania bila VPN hutoboi
  4. Imposibo_

    JamiiForums Tanzania Urgent: Natafuta nyumba ya kupanga, Bajeti 200,000 (Kinyerezi, Kimara, mbezi Africana ingependeza zaidi)

    Kinyerezi mpigie uyu anayo nyumba ya bei io na izo viru zote 0677314296
  5. Imposibo_

    JamiiForums Tanzania Waliokuwa wanamshangilia na kumsifu anayejiita 'Mdude Chadema' wako wapi?

    Umasikini unakufanya uwe na chuki tafuta hela hudumia familia yako na wazazi wako kama bado wako hai
  6. Imposibo_

    JamiiForums Tanzania DPP, TAKUKURU na Polisi: Wasikilizeni CHADEMA. Kuna jinai kubwa imetendeka

    Mataga bana[emoji16][emoji16][emoji16]
  7. Imposibo_

    JamiiForums Tanzania DPP, TAKUKURU na Polisi: Wasikilizeni CHADEMA. Kuna jinai kubwa imetendeka

    Huwezi kumfukuza mtu bila kumsikiliza lazima wasikilizwe hata kumfunga mtu kuna process
  8. Imposibo_

    JamiiForums Tanzania Je, Meli ya Mv Victoria ni mbovu?

    Unatukana ili iweje .. binafsi nilikuwa kwenye io meli siku io Katukane ndugu zako sio kila kitu ulete dharau bana kama unaona huwezi kuandika bila kutukana watu pita katukane boda boda wa mtaani kwako
  9. Imposibo_

    JamiiForums Tanzania Je, Meli ya Mv Victoria ni mbovu?

    Ni kweli ilizimika mara 3 muda tofauti tofauti
  10. Imposibo_

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Wabunge walioshindwa kutetea Ajira zao, wanajishughulisha na kazi gani kujiingizia kipato?

    Muulize Mwakyembe na Mama Kairuki
  11. Imposibo_

    JamiiForums Tanzania Lissu, the grace period is over. Unataka maridhiano ya nini?

    Unategemea uteuzi?
Back
Top Bottom