Recent content by impongo

  1. impongo

    JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu hatma ya Humphrey Polepole

    Hawa wengine ni mbegu ila polepole anastahili kupitia Kwa sababu mfumo huu dharimu alihusika kuanzisha enzi za magufuli
  2. impongo

    JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu hatma ya Humphrey Polepole

    Pole pole alinywea kikombe alichostahili kwasababu wao ndio waanzilishi wa kuteka watu na kupoteza watu enzi za magufuli alichopata alisitahili kukipata.
  3. impongo

    JamiiForums Tanzania NIMETHIBITISHA: Dunia haipo, ni unaota tu!

    Hakuna sababu yoyote ni dhana tu kama una sanabu isiyoweza kuthibitishwa haiwezi kuwa halisi ni dhana
  4. impongo

    JamiiForums Tanzania Sio kwa ubaya CCM tuache kuuzia wananchi matumaini huyu mtu hatoshi hata sisi tuliokua tunamtetea tunaonekana hamnazo

    Ndugu zetu wanampigia makofi kupongeza sijui ukiwa ccm nini hutokea kwenye mfimo wa kufikiri.
  5. impongo

    JamiiForums Tanzania Huyu Johnthebaptist Yuko Wapi?

    LUKUVI
  6. impongo

    JamiiForums Tanzania HOJA Katikati ya crisis ya mafuta ambayo hatujui tunatokaje tunateketeza mamilioni ya Lita za mafuta kukimbiza mwenge

    Kutegemea CCM italeta nafuu kwenye maisha ya wanyonge ni sawa na kitafuta bikra kwenye wodi ya wazazi.
  7. impongo

    JamiiForums Tanzania Nalilia Taifa langu nazililia idara za Usalama wa Taifa, hakuna anayeona kesho ya Tanzania

    Yaani nitembelee VX ya kuhongwa nijisumbue na Mambo ya watanzania ambao watu wanatekwa na kuuliwa wao wajasukuma kete bila wasiwasi
  8. impongo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jibu konki kutoka kwa waziri Dkt. Dorothy Gwajima kwa jamaa aliyeliwa hela ya nauli na demu wake

    Huyu mama mnamtesa 😂😂
  9. impongo

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Comment ya Kitila Mkumbo JF Kuhusu Chanel ten 2009 kabla hajalamba Asali

    Pesa ni sabuni ya roho
  10. impongo

    JamiiForums Tanzania Katika kuadhimisha Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika; Tuambiane ukweli, kwanini huwa haturipoti tunapoona matukio ya Ruswa?

    Nchi nzima tunagawa Baiskeri na Pikipiki ili maamuma watuchague tena, sisi ni viongozi wakuu hapa unategemea Rushwa Africa itaisha?
  11. impongo

    JamiiForums Tanzania Zawadi kubwa kwa Msabato mwenye ushahidi wa Biblia kuonyesha kuwa wanafunzi wa Yesu waliendelea Kuitunza sabato hata baada ya Kufufuka kwake

    Hata sabato ya pili, watu wengi, karibu mji wote, wakakusanyika walisikie neno la Mungu. Matendo ya Mitume 13:44 Hata siku ya sabato tukatoka nje ya lango, tukaenda kando ya mto, ambapo tukadhani ya kuwa pana mahali pa kusali; tukaketi, tukasema na wanawake waliokutana pale. Matendo ya Mitume...
  12. impongo

    JamiiForums Tanzania Kama chanzo cha uhai kinaweza kubadilika basi uhai wenyewe hauna msingi thabiti hadi sasa. Je, ni upi msingi wa uhai?

    Hapo mwanzo kulikuwako neno naye neno alikuwako kwa Mungu, naye neno alikuwa Mungu Hapa kuna contradiction
  13. impongo

    JamiiForums Tanzania Vladimir Vetrov, jasusi aliyejitakia kifo chake mwenyewe

    Bandiko zuri
Back
Top Bottom