Recent content by Impimpi

  1. Impimpi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hivi internet ikizimwa tena siku za usoni, umejipangaje?

    esim ni sukuhisho
  2. Impimpi

    JamiiForums Tanzania NI KOZI ZIPI KWA CHUO KIKUU ZENYE SOKO KWA SASA ZINAMFAA MTU ALIYESOMA HGE?

    kama kuna chuo kinatoa IT, ICT asome
  3. Impimpi

    JamiiForums Tanzania Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

    1. Nisha.. huyu atakuwa anaishi Arusha refer prodyuza marehemu Nisha 2. Nchi jirani ya wafugaji.. hii ni code tu kupoteza maboya ila ni humuhumu akimaanisha Msukuma. 3. Amesoma Urusi na urusi kuna sifa ya baridi kwa Tanzania huenda ikawa Kilimanjaro sasa kmanjaro kuna chuo gani maarufu?
  4. Impimpi

    JamiiForums Tanzania Akopea nyumba ya jirani Milioni 200 kwa Hati Feki. Malalamiko yalifika hadi Ikulu danadana nyingi

    Benki hawakufanya official search? Pia hawakufanya valuation? Kama walifanya je wenye nyumba hawakuona watu wapo site wanatathmini jengo? Hii ni organized crime kati ya benki na mteja
  5. Impimpi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MSAADA: Nimedharirika Sana Jana mbele ya Mwanamke

    tatizo lilianzia hapo kwenye kutopiga punyeto toka kuzaliwa maana yake homoni zako za kiume zilikuwa chini sana wakati wa balehe pigana kuboost testerone level iwe juu kunywa mayai ya kienyeji mabichi wakati wa kwenda kulala atleast mawili kwa mara tatu kwa wiki huku ukifanya mazoezi
  6. Impimpi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Aliwahi kutumia dawa za uzazi wa mpango sasa anapata ugumu kushika mimba. Anawezaje kupona tatizo hili? Nitafute mtoto kwingine?

    Afuate sayansi ya mapishi ya dr mkumbo yupo instagram kuna watu wa shida kama yake wengi wameshika mimba vizuri tu
  7. Impimpi

    JamiiForums Tanzania Taja rafiki ambaye alifariki dunia mapema sana na huwezi kumsahau!

    Heartbroken asee pole sana
  8. Impimpi

    JamiiForums Tanzania Haya ndio magari chaguo langu

    Fielder all the way
  9. Impimpi

    JamiiForums Tanzania Shikamoo Fally Ipupa kwa hili Rhumba lako Kali na Tamu la MAYDAY

    canne sucre
  10. Impimpi

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na vijana wa Kisukuma wanaovaa hereni

    sio kihomoka kweli hapo
  11. Impimpi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu member AshaDii yupo wapi?

    Yowe halichagui umri
  12. Impimpi

    JamiiForums Tanzania Gari ipi ya Toyota unaipenda sana?

    fielder
  13. Impimpi

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya WanaJF wana majina ya ajabu na ya kufikirisha sana

    inamankusweke
  14. Impimpi

    JamiiForums Tanzania SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

    Wale feat Usher Matrimony
  15. Impimpi

    JamiiForums Tanzania Mwili wangu na akili yangu vimechoka sana, sasa nakaribia kukata tamaa

    mkuu jaribu kulala mapema na jizuie kula wanga na sukari kwa muda uone matokeo
Back
Top Bottom