Recent content by impala

  1. impala

    JamiiForums Tanzania Ilipobainika kuwa Mfalme ana matatizo ya afya ya ubongo shida ilikuwa jinsi ya kumfahamisha

    Mfalme alienunua wachezaji wengi wa Simba fc akiamini atashinda ubingwa kiulaini, mfalme anaelalamika kila kukicha as if timu yake inakaribia kushuka daraja wakati tangu msimu unaanza timu yake ndio inaongoza ligi.
  2. impala

    JamiiForums Tanzania BBC Swahili ya enzi hizo!

    Enzi hizo kuna vichwa kweli kweli Hafsa Mosi, Jumbe Omary Jumbe, Erick Mnene, Waihenya Kabiru, Erick David Nampesya, Solomon Mugera.
  3. impala

    JamiiForums Tanzania Tunaomba kujua mamlaka ya waziri wa mambo ya ndani na IGP kwa wateule wa IGP wanaoapishwa na Rais

    Kuna mwingiliano mkubwa wakiutendaji kati ya waziri na IGP, hao ma RPC ni wateule IGP na yeye ndo anawajua ndani nje, mwenye mamlaka yakuwatoa ni IGP kwa ombi la waziri co waziri kutoka vichakani na kutoa maagizo as if yeye ndo Sirro, hivi leo hi waziri wa ulinzi anaweza kuwaondoa mabrigedia...
  4. impala

    JamiiForums Tanzania Wasanii wote wa Wasafi Festival wapigwa ban Clouds

    Mbona Juma Nature yupo kwenye list ya wasanii watakao imba kwenye Fiesta na alikua kwenye wasafi festival
  5. impala

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linawashikilia Maua Sama na Soudy Brown kwa kudhihaki fedha za Tanzania

    TCRA wanadai anaendesha blog kwa domain ya dot com badala ya dot co.tz coz walishatoa maelekezo muda tu wenye blog wote wanatakiwa watumie domain ya dot co.tz yeye naona kagoma, so usishangae akipandishwa kisutu kwa kosa la uhujumu uchumi.
  6. impala

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linawashikilia Maua Sama na Soudy Brown kwa kudhihaki fedha za Tanzania

    Naona kuna upepo mbaya unavuma anga za mawingu maana Shaffih Dauda nae yupo jela since ijumaa kwa ishu ya blog yake.
  7. impala

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa Channel Ten na mumewe wapata ajali, mume afariki papo hapo

    Jamani hi ajali imetokea masaki leo alfajiri co ununio kama mleta uzi anavosema, hiyo gari ni ya CCDF mstaafu na alikua anaendesha mwanae, ambae nae ni majeruhi kalazwa muhimbili.
  8. impala

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa Channel Ten na mumewe wapata ajali, mume afariki papo hapo

    Hiyo ajali imetokea alfajiri leo masaki na mmoja wa majeruhi ni mtoto wa CDF mstaafu kabla ya huyu wa sasa.
  9. impala

    JamiiForums Tanzania Je, radio binafsi ya kwanza hapa nchini ni ipi?

    Radio one stereo 1994
  10. impala

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nini kimemkumba mzee wa IPP Media?

    Mzee mengi mgonjwa, hata last week mzee wa msoga alienda nyumbani kwake kumjulia hali.
  11. impala

    JamiiForums Tanzania Kiprotokali IGP anampigia saluti DC?

    IGP ni high level hawezi kumpigia huyo raia saluti.
  12. impala

    JamiiForums Tanzania Miaka kumi ya siasa chafu ya upinzani nchini toka 2007-20018

    Nonsense
  13. impala

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanesco kuna kikosi kazi cha kupekua watu hadi vyumbani bila kugusa mita wala soketi na kuchukua watu usiku?

    Wakoloni weusi wanaturejesha enzi za utawala wa NAZI
Back
Top Bottom