Tunaomba kujua mamlaka ya waziri wa mambo ya ndani na IGP kwa wateule wa IGP wanaoapishwa na Rais

laptop90

JF-Expert Member
Sep 14, 2017
1,809
2,263
Kwa kawaida kwenye jeshi la polisi kwa ngazi ya kamishna wamekuwa wakiteuliwa na IGP Na kuvikwa vyeo na rais.Je kwa mantiki hiyo waziri anaweza kuwafuta kazi makamishna hao?
 
Mh Kangi umechukua msimamo unaoungwa mkono na wananchi wengi!Mwenye dhamana ya kuwaweka pembeni polisi wanaochafua hadhi ya jeshi ,atimize wajibu wake kwetu waajiri wenu!Hakuna kiki halo,no wajibu tu!
 
Kuna mwingiliano mkubwa wakiutendaji kati ya waziri na IGP, hao ma RPC ni wateule IGP na yeye ndo anawajua ndani nje, mwenye mamlaka yakuwatoa ni IGP kwa ombi la waziri co waziri kutoka vichakani na kutoa maagizo as if yeye ndo Sirro, hivi leo hi waziri wa ulinzi anaweza kuwaondoa mabrigedia kwenye kamandi zao? Time will tell ipo siku Sirro atakua kama Kipilimba kwenye ishu na Msalika,Lugola apigwe chini au Sirro akae pembeni kulinda heshima yake iliyotukuka.
 
Akae pembeni pesa na malupulupu utampa? Watu wana angalia pesa na matumbo yao heshima wapelekee wazee wa baraza
 
ingekua busara lugola angemwagiza siro awahamishe na sio yeye kufanya hivyo. pia hawajavuliwa vyeo vyao vya kipolisi
 
Kuna mwingiliano mkubwa wakiutendaji kati ya waziri na IGP, hao ma RPC ni wateule IGP na yeye ndo anawajua ndani nje, mwenye mamlaka yakuwatoa ni IGP kwa ombi la waziri co waziri kutoka vichakani na kutoa maagizo as if yeye ndo Sirro, hivi leo hi waziri wa ulinzi anaweza kuwaondoa mabrigedia kwenye kamandi zao? Time will tell ipo siku Sirro atakua kama Kipilimba kwenye ishu na Msalika,Lugola apigwe chini au Sirro akae pembeni kulinda heshima yake iliyotukuka.

Mkuu kwa hili nasimama na Lugora. Kwa jinsi nyiye polisi mlivyotuchosha ni wengi tungesimama na Lugora. Huyo Siro alikuwa hayaoni wala kuyasikia haya? Yeye kabanisha kimya kipogoro pogoro? No!

Nimepita mabarabarani jana na leo pana adabu ya kutosha tokea kwa askari wa usalama barabarani. Ninja yu ana kazi hapa ushirikiano tutampa sisi tuliokuwa
Tumegeuzwa vitega uchumi vya hawa manunda wala watu.
 
Kama kuna tuhuma zozote au kona kona ni wajibu wake awaadhibu
Taratibu tutasimama na kuchapa kazi kwa haki bila uonezi
Naona tunaelekea pazuri sana

Sent from my SM using Tapatalk
 
Sawa wametuchosha ila inatekelezeka!?? Au ukichaa tu!??

Mkuu inatekelezeka. Kangi Lugora ni mzalendo haswaaa. Tulikosa mtu kama huyu. Wananchi tulikuwa tumekuwa kama wakimbizi nyumbani kwetu wenyewe.

Tukiteswa na kunyanyaswa na walinzi wetu wenyewe. Haya ni kwa nchi chache sana duniani.

Kangi Lugora katufanya kutembea vifua mbele tutake nini kwa Mungu? Kumbe kuna wakuu wanaoona na kusononeshwa na mabazazi hawa? Jambo la faraja sana.
 
Nitamsifu sana Lugola na kumuona anaouwezo wa kuwafuta kazi wateule wa IGP pale tu,atakapoonyesha picha ya Sirro jinsi alivyotekeleza agizo lake la kumkabidhi askarimbwa kabla ya saa12 na kama hakuweza kukabidhiwa askarimbwa ni hatua gani za fundisho alizomchukulia Sirro?.
 
Back
Top Bottom