Recent content by immu bin masoud

  1. immu bin masoud

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kwanza Gym? Fanya hivi...

    Hayakuwai kunikuta kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. immu bin masoud

    JamiiForums Tanzania MAONI: Gerald Hando, George Bantu na Gardner G Habash, ndani ya Jahazi!!!

    Mkuu redio zinaushindani mkubwa na unaovutia sana kwawanaouelewa. Gerald Hando hawez kurud cmg kipindi hiki. Kifo cha Ruge nifaida kubwa kwa majajizo nahis tutegemee wengi kuondoka cmg Sent using Jamii Forums mobile app
  3. immu bin masoud

    JamiiForums Tanzania Pikipiki aina ya BMW F800 ya mwaka 2013 inauzwa

    Boss sio zamani tu mpaka leo, ukiwa na mnyama kama huyo afu unafuga uchebe unabeba mtoto wa kimanga yoyote Sent using Jamii Forums mobile app
  4. immu bin masoud

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wale wapenda mazoezi ya 'Push up' tukutane hapa!

    Push up asubuhi bench press jioni. Lazima unoge kwelikweli Kifua inakua kma gamba ya kobe Sent using Jamii Forums mobile app
  5. immu bin masoud

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga Marufuku gari zote za abiria kusafirisha vifurushi na barua

    Hii serikali badala kutupunguzia matatzo iko bize kutuongezea matatzo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. immu bin masoud

    JamiiForums Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi awataka Watanzania kunyamaza kimya

    Anatoa macho kma anawahadithia watoto story ya kutisha. Au ndo tuseme anamjaza jiwe aonekane nimtu wakazi haswa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. immu bin masoud

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa SHIA kukabidhiwa BAKWATA.

    Kwaheshima zote chief, mim nimuislam nasiongoz nabakwata Sent using Jamii Forums mobile app
  8. immu bin masoud

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa SHIA kukabidhiwa BAKWATA.

    Ilo la kualikwa pilau ndo wanaloliweza Sent using Jamii Forums mobile app
  9. immu bin masoud

    JamiiForums Tanzania Fursa ya biashara ndani ya visiwa vya Comoro

    Kunahitaji boti au meli, sio ndege mkuu. Nilskia bakhresa anafanyia mpango Sent using Jamii Forums mobile app
  10. immu bin masoud

    JamiiForums Tanzania Fursa ya biashara ndani ya visiwa vya Comoro

    Biashara na Comoro inachangamoto sana, hawa jamaa hawaongei kiswahili ni kifaransa, pili hakuna usafir wakueleweka hasa usafir wa mizgo. Mahitaji yao mengi wanayapata kupitia zanzibar ambao wanatumia majahazi kupeleka vitu huko, napia wadau wanalalamika kua bahari yao inachangamoto ya mvua zenye...
  11. immu bin masoud

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kwanza Gym? Fanya hivi...

    Sikuwahi kufanya mazoezi yakunyanyua vyuma siku zanyuma, nilkua nafanya mazoezi ya viungo tu nyumbani. Naweza kupiga push zakawida 105. Mwez wapili niliamua kuingia gym baada ya kama week nikaanza kuskia maumivu bega lakulia. Nnaweek ya pili sasa nayasikia, sio makali sana ila napata hofu kma...
  12. immu bin masoud

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu biashara ya kuuza nazi pamoja na uwepo wa masoko

    Usijal mzee Sent using Jamii Forums mobile app
  13. immu bin masoud

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mchungaji Alph N Lukau afufua maiti na kuacha gumzo kubwa

    Matapeli wako kila mahali, juzi nilisikia tangazo kua sheikh sharifu majini atakua na mkutano ataombea watu na mgeni rasmi atakua sheikh alhaji musa(shekh mkuu wa dar) Sent using Jamii Forums mobile app
  14. immu bin masoud

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu biashara ya kuuza nazi pamoja na uwepo wa masoko

    Mim naishi tanga mjini, wazazi wangu ni wazaliwa wa pangani Sent using Jamii Forums mobile app
  15. immu bin masoud

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu biashara ya kuuza nazi pamoja na uwepo wa masoko

    Kuitoa pangani gunia(sio kroba) inaingia nazi 250 unaweza isafirisha kwa elfu 10 kutumia gari za tashrifu inayotoka pangani. Kma zikiwa nyingi wanaweza kukupunguzia Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom