msamehe huyo hajui, Muhimbili kuna course za 2.5 points, ambayo hata kwa walimu haifai. issue sio kuwa walifeli, issue ni mshahara mdogo, hapo angeeleweka, tatizo kuna watu wanaongea kwa ushabiki, hasa wanaopenda kusikiliza story za vijiweni bila kujua ukweli.
Ndo nchi ilivo, imagine Doctor analala night, analipwa elfu kumi,, is not fair, wafanyakazi wengi wa serikali na hata sector zingine binafsi wananyanyaswa mno, ndo maana watu wanaona bora apigane afanye biashara kuliko kuonewa kiasi hicho..Hii nchi ina tatizo kubwa sana.
Mara nyingi watu wenye dharau kama wewe wanakuwaga hawana hata kazi, mtu mwenye akili timamu na anayejua maisha huwa hana dharau zisizo na msingi. Ni ushauri tu ndugu, watu wanaojitangaza kuwa ni wa maana huwa kuna kitu wanaficha nyuma yao, wanataka watu wawaone wa maana.
People like you have...
Sjiu mgawanyiko wa mikocheni, na nategemea dalali ambaye yuko serious hatompeleka mteja maeneo yaliyojaa maji. haina haja ya kutaja kuwa sitaki sehemu zenye mafuriko, hilo ni jambo liko wazi hakuna mtu anapenda kupanga kwenye mafuriko..vinginevyo ningeandika kuwa sifa nyingine pawe na mafuriko.
Wadau natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Msasani au Mikocheni, kiwe na sifa zifuatazo;
-Kikubwa...
-Self contained(jiko, choo na bafu ndani).
-Kiwe na umeme, na maji yawe yameunganishwa ndani.
- kiwe karibu na barabarani(angalu dakika kumi tu toka barabarani).
- Iwe ndani ya fence, na sehemu...
hawa wadada wa saloon Malaya mno, nimewahi kumpeleka boyfriend wangu kunyoa nywele saloon moja ipo karibu na American Chips Kindondoni, alipomaliza kunyolewa wakamuita mdada wa kumuosha nywele, pale ndo niliona balaa, mdada akaanza kumpapasa, mi niliwekwa separate room, ila nikashtuka mbona...
inategemea kama ni PVC au Aluminium, but bei zinarange from 100,000-350,000 kwa mita..hizo ghatama zote ni pamoja na usafiri na kufungiwa...ukinihitaji kwa maelezo zaidi naweza kukufata ulipo na kukuonyesha samples pamoja na ushauri na maelezo zaidi..karibu sana
mlango wa chooni standard zipo aina 2. inategemea na aina unayohitaji..ina range from 380,000-600,000....ukiwa serious piga simu yangu nitakufata na samples zetu popote ulipo nikuonyeshe....bei zinapungua kutokana na idadi ya milango pia..maongezi yapo ukiwa tayari
ukiwa muoga wa maisha daima utaogopa kununua gari au kupanga nyumba nzuri ukidai unaweka hela..maisha hayana formula maalum kama vile hesabu..kuna watu wameanza kununua magari na sasa hivi ni matajiri, wengine walianza kuinvest au kujenga ili kukwepa kodi, sasa hivi ni maskini bado na wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.