Chumba cha kupanga, Msasani au Mikocheni

Chumba cha kupanga, Msasani au Mikocheni

Immanuela

Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
22
Reaction score
5
Wadau natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Msasani au Mikocheni, kiwe na sifa zifuatazo;
-Kikubwa...
-Self contained(jiko, choo na bafu ndani).
-Kiwe na umeme, na maji yawe yameunganishwa ndani.
- kiwe karibu na barabarani(angalu dakika kumi tu toka barabarani).
- Iwe ndani ya fence, na sehemu iliyo na parking ya gari ndani ya fence.
- Bajeti yangu 100,000 - 200,000.
- Malipo miezi 6.
- Kama ni Msasani, kwa kutokea Namanga isiwe zaidi ya eneo la bank ya NMB pale general tyre.
-Kama ni Mikocheni, isiwe zaidi ya round about ya Kawe.

kwa ambae anafahamu please nipe taarifa kwa namba 0755 108 345.
Tahadhari: dalali usiniite ili kupata hela ya usumbufu, kama chumba hakina sifa zote nilizotaja sitalipa hela yoyote.
 
Unauliza chumba mikocheni? Ipi hii mikocheni A kwa mtogole ama bonde la mpunga?manake kuanzia hii mvua inyeshe hakuna tofauti ya tandale kwa mtogole na kwa vibopa mtu unatoka ndani kuingia barabara kuu kwa mtumbwi sema wenzutu wana magari ndio pona yao la sivyo ngoma droo.
 
Sjiu mgawanyiko wa mikocheni, na nategemea dalali ambaye yuko serious hatompeleka mteja maeneo yaliyojaa maji. haina haja ya kutaja kuwa sitaki sehemu zenye mafuriko, hilo ni jambo liko wazi hakuna mtu anapenda kupanga kwenye mafuriko..vinginevyo ningeandika kuwa sifa nyingine pawe na mafuriko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom