Uchumi wetu upo kwenye hatua ipi?Recovering,Recession,Peak ama Depression?
Leo humu mtandaoni nimeona matangazo ya kampuni moja kubwa ya simenti na benki moja zikitangaza hasara huku jana niliambiwa kuwa kuna benki moja imetangaza kufunga baadhi ya matawi yake ikilitangaza tawi la Wilaya ya...
HATIMAYE MAHAKAMA YAITUPILIA MBALI KESI YA UKUTA DHIDI YA CHADEMA SIHA ILIYOKUWA IKIWAKABILI KATIBU NA MADIWANI WA CHADEMA
Kesi hiyo ilikuwa ikiwakabili katibu wa CHADEMA Emanuel Nabora, madiwani wa chama hicho wawili Jackson Rabo diwani wa kata ya Ndumet na diwani wa viti maalum Bi. Witness...
Ni kweli Kabisa CWT Mkoa wasilinyamazie ili.
Pia hata hawa UVCCM wasilinyamazie kabisa Mbunge anafanya ukatili wa kiwango kikubwa hivi, Ni aibu kubwa Sana tena mwanamke ametenda unyama huu,
Catherine tafakari mapema kukiri kosa sio dhambi bali ni ushuja.watakao kisifu ni wachumia tumbo tu na...
Wo shi
Nikusaidie Jambo moja katika uingizaji wa madawa kutoka Nchi jirani Kenya,Kama ulimwelewa Dr Mollel
Katika taarifa yake hakumaanisha serekali yetu ifanye biashara na Serekali ya Watu wa Kenya,wala hapingi uingizaji wa Madawa kutoka India,Ila alichosisitiza ni Ubora na gharama za Dawa...
Ndugu zangu watanzania siku ya Alhamis 06/10/2016 nilizungumza na vyombo vya Habari juu ya Ukosefu wa Dawa,Vifa tiba,MSD,Watumishi ambao wamemaliza miaka miwili iliyopita hadi sasa hawana ajira na Teknolojia katika Afya Nilishauri serikali isinijibu kisiasa Yaani waache propaganda Kwenye...
TAARIFA YA WAZIRI KIVULI WA AFYA MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA WATOTO DR GODWIN MOLLEL AKIWASILISHA HALI HALISI YA DAWA, VIFAA TIBA NA VITENDANISHI KATIKA TAIFA.
Ndugu wanahabari
Kupata huduma ya afya ni haki ya msingi ya kila mwananchi, na ndio jiwe kuu msingi katika kutekeleza haki ya...
Nilipongeze Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la CUF kwa maamuzi yao juu ya Propesa na washirika wake,Naamini watakuwa wameelewa Pro alikuwa Mkt ila hakuijuwa Katiba,Niwape Pole wanacuf Kwa kuamini walikuwa na Mkt kumbe walikuwa na Mchumia tumbo
Kituo cha Televisheni nchini, TV1 kimezindua kampeni yake inayokwenda kwa jina la Toroka Uje ambayo inawaletea watazamaji wake matangazo ya bure ya mechi zote za Ligi Kuu ya Uingereza maarufu kama English Premier League zitakazoanza kutimua vumbi kuanzia Agosti 13 mwaka huu.
Akizungumzia...
Kituo cha Televisheni nchini, TV1 kimezindua kampeni yake inayokwenda kwa jina la Toroka Uje ambayo inawaletea watazamaji wake matangazo ya bure ya mechi zote za Ligi Kuu ya Uingereza maarufu kama English Premier League zitakazoanza kutimua vumbi kuanzia Agosti 13 mwaka huu.
Akizungumzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.