CHADEMA Siha washinda kesi ya UKUTA, waibwaga serikali mahakamani

Imma Saro

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
394
197
HATIMAYE MAHAKAMA YAITUPILIA MBALI KESI YA UKUTA DHIDI YA CHADEMA SIHA ILIYOKUWA IKIWAKABILI KATIBU NA MADIWANI WA CHADEMA

Kesi hiyo ilikuwa ikiwakabili katibu wa CHADEMA Emanuel Nabora, madiwani wa chama hicho wawili Jackson Rabo diwani wa kata ya Ndumet na diwani wa viti maalum Bi. Witness Nerey Riwa.

Katika kesi hiyo namba 86 ya 2016 , viongozi hao walishtakiwa katika mahakama ya Wilaya ya Siha mbele ya Hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama hiyo Mheshimiwa Anold Kirekiano.
Kesì hiyo ilisomwa kwa mara ya kwanza tarehe 31.8.2016 ikiwa na makosa mawili kwa watuhumiwa wote watatu.

Kosa la kwanza lilikuwa kwamba watuhumiwa wote watatu kwa pamoja pamoja na watuhumiwa wengine ambao walikuwa bado wanatafutwa, walikula njama kinyume cha sheria ya kanuni za adhabu namba 16 iliyofanyiwa mapitio mwaka 2002 kifungu cha 385.
Maelezo ya kosa hilo yalisema kwamba mnamo tarehe 24.8.2016. majira ya saa 4.30 huko Sanya Juu wilaya ya Siha watuhumiwa hao wote walikula njama na kufanya kusanyiko lisilokuwa halali kinyume cha sheria.

Kosa la pili ni kwamba watuhumiwa wote kwa pamoja walifanya kusanyiko lisilokuwa halali kinyume cha sheria namba 16 kifungu cha 74 na 75.

Maelezo ya kosa yakiwa kwamba washitakiwa wote pamoja na wengine ambao hawajakamatwa mnamo tarehe 24.8.2016 majira ya saa 4.30 asubuhi huko Sanya juu wilaya Siha baada ya kula njama walifanya kusanyiko lisilo halali kwa lengo la kuwashawishi watu kufanya uhasi. Kwa kiingereza (unlawfull assembly with intent to influnce people to protest)

Baada ya kusomewa mashita hayo mawili wakili wa upande wa utetezi wakili msomi ELIA.J.KIWIA aliweka pingamizi la awali kwamba maelezo ya kosa yaliyotolewa hayana maelezo muhimu ambayo yangewezesha upande wa jamuhuri kutengeneza kosa dhidi ya viongozi hao km sheria ya muenendo wa makosa ya jinai kifungu cha 132. Na kuimba mahakama hiyo kuitupilia mbali kesi hiyo na kuwaachia huru watuhumiwa hao.

Katika kutoa ufafanuzi wa hoja yake hiyo, Wakili wa upande wa utetezi alitumia sheria mbalimbali, vitabu,kamusi na kesi za mahakama ya rufani zilizokuwa zikitoa muongozo, akisema kwamba lengo la kifungu hicho cha sheria halikuwa kuzuia uasi bali ilikuwa ni kuzuia makusanyiko yote ambayo yataogopesha watu na kusababisha uvunjivu wa amani au kusababisha watu wakasirike na kusababisha uvunjifu wa amani.
Na kwambakwa jinsi maelezo ya kosa yalivyokuwa watuhumiwa hakuwa na kosa lolote walilokuwa wamelitenda bali jamuhuri walikuwa wametengeneza kosa jipya ambalo halipo kisheria.

Huku upande wa jamuhuri wakisisitiza kuwa maandalizi ya hati hiyo ya mashitaka ilikuwa sahihi.

Baada ya hoja nzito za kisheria kutoka kwa wakili msomi huyo wa CHADEMA dhidi ya muendesha mashtaka wa serikali Ispecta wa polisi Feo hakimu aliyekuwa akiendesha kesi hiyo aliridhika na hoja za wakili wa Viongozi hao alifanikiwa kuibwaga jamuhuri.
Ndipo mahakama hiyo ilipoitupilia mbali na kuwaachia huru viongozi hao.
Habari za ndani kutoka kwa mwanahabari wetu zinaeleza kwamba pamoja na kwamba shitaka hilo limetupiliwa mbali kwa hoja za kisheria. Viongozi hao pamoja na watu wengine walikamatwa huko Sanya juu Siha katika ukumbi wa KKKT wa Amani wakiwa katika mkutano wao wa ndani kwa maelekezo kutoka viongozi wa ngazi za juu wa serikali ili kudhibiti operesheni UKUTA. Wakiongozwa na RCO wa mkoa wacKilimanjaro akiwa na FFU magari manne yenye askari waliosheheni silaha
 
Attachments

  • 1481832927917.jpg
    1481832927917.jpg
    67.4 KB · Views: 55

Safi sana, mkamanda ila mbowe nae apumzike uwenyekiti was chama aachie na wengine
 
Imma Saro kumbe huku JF mtani wangu! habari za Arusha? wewe ni rafiki yangu fb
hahahahahahaah
 
Hongera makamanda
 
Back
Top Bottom