Dr. Mollel amshukia tena Waziri wa Afya Ummy Mwalimu

Imma Saro

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
394
Reaction score
197
Ndugu zangu watanzania siku ya Alhamis 06/10/2016 nilizungumza na vyombo vya Habari juu ya Ukosefu wa Dawa,Vifa tiba,MSD,Watumishi ambao wamemaliza miaka miwili iliyopita hadi sasa hawana ajira na Teknolojia katika Afya Nilishauri serikali isinijibu kisiasa Yaani waache propaganda Kwenye afya ,inijibu kisayansi nasikitika dada yangu ninaye muheshimu ,amenijibu Majibu marahisi Sana Katika maswali matano mazito Sana please Tanzania niyetu sote.

Wakati naitazama taarifa yake kwenye kituo cha habari niliwaona wananchi wakilamika tena juu ya ukosefu wa Dawa, Naomba ufahamu nachokizungumza juu ya Afya nakielewa na ndio uhalisia ,sikukurupaka kuzungumza vile nilifanya uchunguzi na kuona hali halisi kwenye Afya.

Nilihoji mambo mengi sana kuhusu ununuaji wa dawa India ambazo huchukuwa mwezi mmoja kufika nchini badala ya Kenya ambazo ndani ya siku moja zinakuwa zimefika nchini na nikahoji sababu za kutokuagiza dawa Kenya ni sababu za kisayansi au kifisadi.

Mh Ummy nakuheshimu sana ila tusifanye mchezo na afya za watanzania.

Nakushauri toa majibu yatakayotatuwa tatizo nasio utetezi mwepesi kwa serekali.

By:
Dr Godwin Mollel (MB) Waziri Kivuli wa Afya.
 
nafikiri kenya hazikuagizwa kwa sababu za kisiasa,labda tungeagiza rwanda.

kwa jinsi mjomba alivyovamia hospitali ya.muhimbili kwa.mikwara na kuhoji kwa nini mashine ilehaifanyi kazi,ungeweza kudhani.sasa sekta ya afya imepata mkombozi,

wakurugenzi wakatimuliwa,akaletwa mwingine,tatizo liko palepale..........mkuu,angalia mfumo,sio watu
 
Nilihoji mambo mengi sana kuhusu ununuaji wa dawa India ambazo huchukuwa mwezi mmoja kufika nchini badala ya Kenya ambazo ndani ya siku moja zinakuwa zimefika nchini na nikahoji sababu za kutokuagiza dawa Kenya ni sababu za kisayansi au kifisadi.
Mh Ummy nakuheshimu sana ila tusifanye mchezo na afya za watanzania.

Nakushauri toa majibu yatakayotatuwa tatizo nasio utetezi mwepesi kwa serekali.
By:
Dr Godwin Mollel (MB) Waziri Kivuli wa Afya.

Wamasai wakina Mollell wako Kenya na Tanzania.Kuna wafanyabiashara wa dawa wa kimasai Kenya ambao wote kiongozi wa masai Afrika Mashariki ni Edward Lowasa (Laigwan mkuu) hILO SWALI analomwuuliza waziri hizo dawa hao wakenya (WAMASAI???!!!!!) huwa wanatengeneza wao au huagiza India na baadaye kutuuzia sisi? Kama wanaagiza india kwa nini tununue Kenya tusinunue India moja kwa moja? Kama sio ufisadi ni nini?

Anatetea maajenti wa Kenya.SERIKALI inanunua viwandani moja kwa moja sio kupitia maajenti wawe wa kimasai au wowote wawe wa Tanzania au kenya
 
safi sana dr.....kila mtu alijua anadanganya!hata alivyokuwa anapepesa macho unaona kabisa mwongo
 
Wamasai wakina Mollell wako Kenya na Tanzania.Kuna wafanyabiashara wa dawa wa kimasai Kenya ambao wote kiongozi wa masai Afrika Mashariki ni Edward Lowasa (Laigwan mkuu) hILO SWALI analomwuuliza waziri hizo dawa hao wakenya (WAMASAI???!!!!!) huwa wanatengeneza wao au huagiza India na baadaye kutuuzia sisi? Kama wanaagiza india kwa nini tununue Kenya tusinunue India moja kwa moja? Kama sio ufisadi ni nini?

Anatetea maajenti wa Kenya.SERIKALI inanunua viwandani moja kwa moja sio kupitia maajenti wawe wa kimasai au wowote wawe wa Tanzania au kenya
Mkuu jikite kwenye hoja tunataka majibu sahihi na yenye kukidhi haja ya wananchi achana na propaganda za ukabila.
Karne ya 21 ukabila hauna nafasi
 
Kiini macho cha kuchanganya udongo na kuwaaminisha watu kuwa "tumeshaungana"

Watu wanaunganisha Nyama na bado wanaparangana ije kuwa udongo.

UONGO HUU NDIO MSINGI WA UONGO WOTE UNAOENDELEA.
 
Wamasai wakina Mollell wako Kenya na Tanzania.Kuna wafanyabiashara wa dawa wa kimasai Kenya ambao wote kiongozi wa masai Afrika Mashariki ni Edward Lowasa (Laigwan mkuu) hILO SWALI analomwuuliza waziri hizo dawa hao wakenya (WAMASAI???!!!!!) huwa wanatengeneza wao au huagiza India na baadaye kutuuzia sisi? Kama wanaagiza india kwa nini tununue Kenya tusinunue India moja kwa moja? Kama sio ufisadi ni nini?

Anatetea maajenti wa Kenya.SERIKALI inanunua viwandani moja kwa moja sio kupitia maajenti wawe wa kimasai au wowote wawe wa Tanzania au kenya
Tunasubiri waziri wa afya aje na majibu kama haya!
 
Bora kigwangala angekuwa waziri kamili hyu mama hawezi hyo nafasi bdo hajiamini sijui kama ana taaluma ya utabibu kama naibu wake

Kazi ya waziri haipimwi tu kwa uwezo wa kujibu maswali bungeni.Kazi ya kujibu maswali ni asilimia moja tu ya majukumu ya waziri.Hapimwi tu kwa kuongea sana bungeni ana kazi zaidi ya hizo ambazo anazimudu barabara
 
Bora huyu mama atafutiwe wizara nyingine hii imemvaa hajui aseme lipi na aache lipi..
 
Nadhani kuna kavita kachinichini anapigwa huyu Dada yetu WaziriAFYA.Itakuwa mbaya gani kama huyu Waziri akiwa pro active...kama vile kucharaza kabarua ka kuachia ngazi.
 
Wamasai wakina Mollell wako Kenya na Tanzania.Kuna wafanyabiashara wa dawa wa kimasai Kenya ambao wote kiongozi wa masai Afrika Mashariki ni Edward Lowasa (Laigwan mkuu) hILO SWALI analomwuuliza waziri hizo dawa hao wakenya (WAMASAI???!!!!!) huwa wanatengeneza wao au huagiza India na baadaye kutuuzia sisi? Kama wanaagiza india kwa nini tununue Kenya tusinunue India moja kwa moja? Kama sio ufisadi ni nini?

Anatetea maajenti wa Kenya.SERIKALI inanunua viwandani moja kwa moja sio kupitia maajenti wawe wa kimasai au wowote wawe wa Tanzania au kenya
Mkuu punguza hiyo hali ya kuchangia utoto, ktk kipindi kigumu cha kupungua/hakuna Dawa etc.

Hoja ni khs Logistics za umbali wa Ke na Ind ktk hiki kipindi cha shortage za Dawa na Tiba vifaa...

Jitahidi kuchangia kistaarabu...
 
Ana
Kazi ya waziri haipimwi tu kwa uwezo wa kujibu maswali bungeni.Kazi ya kujibu maswali ni asilimia moja tu ya majukumu ya waziri.Hapimwi tu kwa kuongea sana bungeni ana kazi zaidi ya hizo ambazo anazimudu barabara
Unamudu hii ya kusema uongo labda
 
Ukitaka kujua ni kwanini dawa zetu zinanunuliwa toka India basi itabidi uchunguze kwanini aliyewahi kuwa katibu mkuu wizara ya Afya ( Mrope) alitumbuliwa na nduguye che nkapa miaka hiyoooo....
 
Back
Top Bottom