Recent content by Imembe

  1. Imembe

    JamiiForums Tanzania Leo naelekeza lawama kwa vyombo vya habari katika kuripoti majanga mbalimbali yanayojitokeza

    Janga lenyewe si ndio C19 mkuu au kina mengine?
  2. Imembe

    JamiiForums Tanzania Jiamini mwenyewe usije mwamini hata ndugu yako wa damu

    Alafu unakuta nyumba umehangaikaijenga kwa miaka kadhaa alafu inasepa kwa mda mfupi tu!!!! Unaambiawa kutoka mia kwenda zero ni rahisi ni kufumba na kufumbua,taabu ipo kwenye kutoka zero kwenda mia.
  3. Imembe

    JamiiForums Tanzania Watu watatu wafikishwa kortini wakikabiliwa na shitaka la kusafirisha Dawa Za Kulevya aina ya Heroine Kg 30

    Kaka maisha ni kujilipua[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
  4. Imembe

    JamiiForums Tanzania Leseni ya Udereva ya Luka Martin Tumbuka na kadi za ATM vimeokotwa

    Hivi unaweza fanya kazi NBC lakini ukawa na Accout kwenye Bank nyingine[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]!!!!kesho naenda kufungua na mimi.
  5. Imembe

    JamiiForums Tanzania Jiamini mwenyewe usije mwamini hata ndugu yako wa damu

    Kwanini mkuu?
  6. Imembe

    JamiiForums Tanzania Jiamini mwenyewe usije mwamini hata ndugu yako wa damu

    Tamaa ya mafanikio mkuu inawaponza sana hawa wenzetu
  7. Imembe

    JamiiForums Tanzania Jiamini mwenyewe usije mwamini hata ndugu yako wa damu

    Habari wana jamvi,niende moja kwa moja kwenye mada bila kuwa chosha. kwa kuwa uandishi wangu sio mzuri ila najua mtanielewa. kuna jirani yangu mmoja anaitwa mama Juma ambae yeye anakaka yake ambae yeye anafanya biashara kariakoo,sasa kaka akamwoba msaada kwa dada yake ambae ni mama Juma...
  8. Imembe

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Mchemsho niliokunywa, haikupita nusu saa nikawa fresh mpaka nikawa naona furaha ya kupumua

    Kama aliwasha na mmea basi C19 aiwezi mludia tena[emoji23][emoji23][emoji23]
  9. Imembe

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu alitaka Tufe, Dereva wa Lorry akakubaliana naye, Mungu akamtumia Dereva mwingine Kutuokoa

    Usije wapa tena Marenad gari hasa katika masafwa marefu,mtageuka majina kwa mda mfupi tu.
  10. Imembe

    JamiiForums Tanzania Mzee abuni umeme wake "haukatiki, sijasoma nilitengeneza helikopta wazungu wakachukua"

    wasomi wetu wao wanapenda majina yaDR na akuna uvumbuzi
  11. Imembe

    JamiiForums Tanzania Kozi za udereva chuo cha Taifa cha Usafirishaji(NIT)

    Uwe dereva ambae sio mbabaishaji,maana pale unaenda jifunza sheria za barabarani za kima taifa.
  12. Imembe

    JamiiForums Tanzania Unatumia unit ngapi za LUKU kwa siku?

    point 7
  13. Imembe

    JamiiForums Tanzania Serikali mulikeni haya matumizi ya energy drink!

    Alafu jana nilishuhudia mchezaji wa simba akitumia akiwa mchezoni!!!!
  14. Imembe

    JamiiForums Tanzania Serikali mulikeni haya matumizi ya energy drink!

    Sikukipenda hiki kinywaji toka mwanzo,maana nilijaribu tumbo lilijaa gass siku nzima.
Back
Top Bottom