A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,098
- 1,498
Kwa anayefahamiana na huyu muhusika awasiliane na mimi
Anaitwa Luka Martin TumbukaKwa anayefahamiana na huyu muhusika awasiliane na mimiView attachment 1723595
Hakuna mawasilianoVitu vyote hivyo hakuna chenye namba ya simu?!
Afrika tuna matatizo makubwa sana ya akili!Hivyo vitu vilipaswa kuwa na namba ya simu.Hakuna mawasiliano
Nimewapigia hao jamaa no hawana mawasiliano na muhusika pia.Kuna kadi moja nimeona kama kuna namba za cm ikiwezekana jalibu kumpigia
Hahaha hili swali umeniwahi mkuu nilikuwa nataka kujiuliza aiseeeHivi unaweza fanya kazi NBC lakini ukawa na Accout kwenye Bank nyingine!!!!kesho naenda kufungua na mimi.
Hiyo inawezekana kabisa, nilivyokuwa huko nilishauriwa na boss wangu nisimantain account ya paleHivi unaweza fanya kazi NBC lakini ukawa na Accout kwenye Bank nyingine!!!!kesho naenda kufungua na mimi.
Inawezekana bila tatizoHivi unaweza fanya kazi NBC lakini ukawa na Accout kwenye Bank nyingine!!!!kesho naenda kufungua na mimi.
Ubarikiwe kwa upendo huu. Kuna siku nilipoteza vitambulisho usumbufu niliopata ni sawa na wafanyakazi wa serikali Bora wasiwepo maana HAKUNA anayejali ukianza kutafuta vitambulisho upya.
Kwa Mandanje Kuna namba ya simu pigaVitu vyote hivyo hakuna chenye namba ya simu?!
Labda jamaa anataka walau pesa ya SodaNaona kadi NBC imeandikwa Bank Teller sasa si upeleke hapo NBC.
Ila jamaa mstarabu sana wkt mwingine wema unaweza fanya lkn mwishowe ukakuponzaLabda jamaa anataka walau pesa ya Soda