Jiamini mwenyewe usije mwamini hata ndugu yako wa damu

Imembe

Member
Nov 13, 2020
51
125
Habari wana jamvi,niende moja kwa moja kwenye mada bila kuwa chosha.

kwa kuwa uandishi wangu sio mzuri ila najua mtanielewa.

kuna jirani yangu mmoja anaitwa mama Juma ambae yeye anakaka yake ambae yeye anafanya biashara kariakoo,sasa kaka akamwoba msaada kwa dada yake ambae ni mama Juma, kwamba anahitaji kuchukua mkopo bank kwaajili ya kuboost biashara zake,lakini Bank walitaka udhami wa mali isiyo amishika kama nyumba na kadhalika.

Sasa ndugu mtu kwa vile yeye hana vigezo hivyo vya kupata mkopo sasa ikabidi amwombe huyo dada yake ambaye ni mama Juma..... kwa bahati mbaya mama juma nyumba yake ilikuwa sehemu mbaya karibu na bonde la maji kwaiyo bank awakukubali kutoa mkopo.

Mama juma ikabidi amfuate rafikiyake ambaye ni mama James amabaye huyu mama yeye ana nyumba ambayo ni kubwa na ipo katika mazingira mazuri,kama unavyo jua wamama kuto shirikisha familiya na mama James yeye alipewa ofa ya 2M kama mkopo ukifanikiwa kutoka!!!!Mama James akatoa hati ya nyumba na kukamilisha taratibu zote kwa jiri ya mkopo wa yule ndugu rafiki.

Sasa ndugu rafiki alicho kifanya ni kitu cha kinyama!!!!!!baada ya kuchukua mkopo jamaa akampa mama James 2M na yeye akarudida Laki4 katika mkopo wa 25M nakutokomea pasipo julikana pamoja na dada yake mama Juma awajulikani walipo.

Hatimaye nyumba imetangazwa mnada kwa bei ya kutupwa,Mama James kachanganyikiwa maa hata Mume inaonekana alikuwa ajui kilichokuwa kina endelea.

Niwa hase ndugu zangu dunia yaleo na hali ya sasa ya kiuchumi usiwe mlahisi wa kumwamini mtu.
 
covid 19

JF-Expert Member
May 9, 2014
1,606
2,000

Hizi kesi nasikiaga kwa wanawake tu sijui hawa wenzetu akili zao zipoje..:oops::oops::mad:
 
Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
5,054
2,000
Hizi kesi nasikiaga kwa wanawake tu sijui hawa wenzetu akili zao zipoje..:oops::oops::mad:
Hahahaa...wanawake anaweza kuuza TV apate hela ya kununua dera, na kupeleka sadaka kwa mchungaji....hapo hapo atakuja kulalamika kwamba ununue TV mapema anataka kufuatilia tamthilia na vipindi vya bongo movie...bila kusahau shilawadu.
 
Imembe

Member
Nov 13, 2020
51
125
Dah na bank hapo awaelewi wanataka hela.

Alafu unakuta nyumba umehangaikaijenga kwa miaka kadhaa alafu inasepa kwa mda mfupi tu!!!!

Unaambiawa kutoka mia kwenda zero ni rahisi ni kufumba na kufumbua,taabu ipo kwenye kutoka zero kwenda mia.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom