Hitaji la Taifa.
Taifa linahitaji kiongozi wa nchi,kiongozi atakaye waunganisha watanzania nakuendeleza pale alipoishia Mh.wetu Jakaya,
Nchi inahitaji mtu mmoja,mtu atakaye aminiwa akisema,kiongozi atakaye jua na anayejua mahitaji ya wakati ya nchi katika zama hizi za ushindani wa...