Just kama alivyo Zitto anajua nadharia za uchumi lakini hakuwahi kuingia kwenye field so ni rahisi kuona kila jambo litaleta majibu tarajiwa kumbe ni projections za makaratasi tu kiuhalisia tunakula mweleka
Ndugu yangu kiujumla Matusi sio hoja kwamba utatukana utegemee mahakama,kama kuna watu hua wanaua baada ya mda unawaona mtaani inawezekana pia ukatukana na ukafungwa
Siamini leo na utundu wang wote wa kuzunguka kwenye search engine sijapata video hii,af jamaa wamekua wachoyo wanatoa comment tu baada ya kuangalia kimy kimy
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.