HATIMAYE: Mariam wa Biriani la Tabata aji-Amberrutty

Status
Not open for further replies.
Hili hapa
WhatsApp Image 2019-04-19 at 11.11.45 PM.jpeg
 
Tz ya uchumi wa Kati bado sana kuifikia
Yaani tungekua tuna shahuku kiasi hiki kutafuta maarifa ya kutujenga na kusubutu kufanya tafiti na biashara , hakika tungekua mbali sana.

Cha ajabu kutwa nzima busy kupata habari za katikati ya mapaja na nyuma ya choo.

Huu uzi umenifanya kufikiria upya aina ya wana Jf wa nyakati hizi Kama wenautofauti na yule choko wa Insta...Jumalokole!!
 
Kwanini usingeupuuza uendelee na mambo ya muhimu!?
 
Kumbe ule usemi wa maisha bila unafiki hayaendi una ukweli ndani yake..sasa we baada ya kuona kichwa cha habari cha huu uzi ulidhani kinahusu Tz ya viwanda? Si ungepotezea tu utafute uzi unaozungumzia maendeleo..watu wengine sijui wanawaza kwa kutumia biriani..
Tz ya uchumi wa Kati bado sana kuifikia
Yaani tungekua tuna shahuku kiasi hiki kutafuta maarifa ya kutujenga na kusubutu kufanya tafiti na biashara , hakika tungekua mbali sana.

Cha ajabu kutwa nzima busy kupata habari za katikati ya mapaja na nyuma ya choo.

Huu uzi umenifanya kufikiria upya aina ya wana Jf wa nyakati hizi Kama wenautofauti na yule choko wa Insta...Jumalokole!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom